Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bila discussion wakuu, Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote. Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo...
11 Reactions
78 Replies
5K Views
Hbr za w,keend wakuu Najiuliza ni kwann wanawake wasomi hawaolewi, mfano: madoctor wakike, mahakimu wakike, wanasheria na hata walimu wengi was secondary hawaolewi shida nn hasa jaman Nina...
22 Reactions
1K Replies
93K Views
Kama upo kwenye ndoa na unafurahia, basi huu uzi unakuhusu ili tuweze kubadilishana uzoefu wa namna gani ya kuishi na wenza wetu kwa furaha. Kupitia maoni mazuri yatakayotolewa hapa inawezekana...
13 Reactions
99 Replies
4K Views
Lile jambo tunafanya wote na kuna wakati mwanaume huzidiwa kabisa ila ni nadra sana kumkuta mdada au mama anajisifu juu ya game. Sio hivyo tu Kuna wakati hata katika stori za kawaida mdada au...
1 Reactions
13 Replies
884 Views
Habari wana MMU, Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi. Nimepita thread nyingi sana za kutafuta...
23 Reactions
777 Replies
141K Views
Mwana JF hope mko fine Katika kusoma thread nyingi za MMU hasa zenye contents za minyanduanao hutaacha kusikia neno hili 'Kuifinyia Kwa ndani' Wanaolitumia neno hili uonyesha kufurahia kana...
15 Reactions
498 Replies
38K Views
Habari zenu, Nakumbuka niliwahi ona thread ikizungumzia kuwa mabinti wengi wanapenda harusi kuliko ndoa ndo maana wanaosuka mipango ya harusi asilimia kubwa ni wanawake. Ninavofikiri mimi ni...
8 Reactions
79 Replies
3K Views
Hello mambo JF! Muda mchache mambo ni mengi, usisumbuke asili ya tamaa ni vitu kama ilivyo kwa mwanamke na kuku, wote tamaa yao huvutwa na mvuto vitu kama afanyavyo kuku. Hata angeona hatari...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu, MUDA mfupi uliopita nilienda kwa mpenzi wangu kukata kiu baada ya kummiss kwa takriban siku 4 zote nilizokua Safari. Nimeenda nimemfungashia kijizawadi, Cha kushangaza nimefika nmeishia...
26 Reactions
374 Replies
14K Views
Kadiri unavyopenda zaidi, ndivyo unavyozidi kuumia. Yule unayempenda zaidi atakuumiza zaidi ikiwa huna uwezo wa kumwacha. Unampenda sana kiasi kwamba unavumilia madhaifu yake yote. Upendo na...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Baba: calling -------------- Mimi: Hallo, shkamoo mzee wangu. Baba: Marahaba, hujambo? Mimi: Mimi sijambo mzee, vipi huko wazima? Baba: Huku wazima tumetingwa na kilimo hapa. Vipi wewe...
5 Reactions
10 Replies
959 Views
Nina swali! Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani? Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana...
4 Reactions
98 Replies
8K Views
Wakuu, Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi! Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake...
24 Reactions
225 Replies
11K Views
My heart is broken, this is not what our future was supposed to look like. Tears are flowing from my eyes, but no way, I can't stop what's happening! I remember the day we met in one of the...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Wananzengo kwema humu, binafsi nishaga ongea mbele ya Familia yetu nilikozaliwa kuwa sitaowa na sitaki michango yoyote ya harusi kutoka kwa kijana yoyote yule. Sasa basi Kwa kuwa humu wote nawale...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Hello mambo aje? Ukweli usemwe mara zote nikiwa na shoo na hao magwiji wa kike kutoka haya makabila mhaya, mngoni na mmakonde, mara zote kwenye game nafanywa mimi badala ya mimi kufanya, wana...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori. The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri...
6 Reactions
139 Replies
7K Views
Rafiki yangu alimlaumu kaka yake, nami nikaumia kwa kuwa nilifahamu kisa cha ndoa ile. Nitaelelza machache nayofahamu ambayo yaliniumiza. Sitaelelzea ndoa yao kiundani ndugu wa rafiki yangu hawa...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
It is very irritating, unahangaika kumtumia mtu mamia ya ujumbe PM Halafu hajibu wakati ni yeye mwenyewe ndio alikuwa anasema anatafuta mwenzi. Mkiwapata semeni ili tusipotezeane muda
5 Reactions
25 Replies
937 Views
Tujifunzage kuwa unachoona huwezi kukiacha kutokana na mapenzi basi usikibugudhi au kukichunguza Kwenye maisha yangu nimedate na wanawake lkn most of them wamenizidi umri one or two years Kuna...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Back
Top Bottom