Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam jamiiforums Kila mmoja amechagua maisha fulani ya kuishi ili mradi havunji sheria, lakini juu ya yote, unaweza kuwa unashusha uanaume wako bila kujijua. Leo tukumbushane taratibu kadhaa...
16 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndiyo nguvu za kiume nowdays ni shida nyingine kwa sisi wanaume. Kwa Bao la kwanza mwanamke unaye sex naye during sex epuka kumtazama sana sex parts yenye mvuto kama hips au kalio lake pia kama...
13 Reactions
77 Replies
5K Views
Haya ni mawazo yangu. Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa...
10 Reactions
17 Replies
3K Views
๐™…๐™ช๐™จ๐™ฉ ๐™š๐™–๐™ฉ ๐™–๐™ฃ๐™™ ๐™ง๐™ช๐™ฃ ๐™ฃ๐™ž ๐™ข๐™จ๐™š๐™ข๐™ค ๐™–๐™ข๐™—๐™–๐™ค ๐™ช๐™ฃ๐™–๐™ฉ๐™ช๐™ข๐™ž๐™ฌ๐™– ๐™จ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ซ๐™ž๐™Ÿ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™ข๐™ฉ๐™–๐™– ๐™ฌ๐™š๐™ฉ๐™ช ๐™–๐™ข๐™—๐™–๐™ฅ๐™ค ๐™ช๐™ข๐™š๐™ฌ๐™–๐™จ๐™–๐™—๐™–๐™—๐™ž๐™จ๐™๐™– ๐™ข๐™–๐™™๐™๐™–๐™ง๐™– ๐™ข๐™–๐™ ๐™ช๐™—๐™ฌ๐™– ๐™จ๐™–๐™ฃ๐™–, ๐™Ÿ๐™–๐™ฅ๐™ค ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™œ๐™ž๐™ฃ๐™š ๐™ฌ๐™–๐™ข๐™š๐™›๐™–๐™ฃ๐™ž๐™ ๐™ž๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ช-๐™š๐™–๐™ฉ ๐™–๐™ฃ๐™™ ๐™ง๐™ช๐™ฃ ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ก๐™ž. Vijana wanatumia msemo huu...
4 Reactions
79 Replies
3K Views
Wakuu salaam. Hebu tujadili hii kauli ya "tuishi nao kwa akili" ilivyokaa. Mtu kama kafuga na kuishi na nyoka au hata mnyama mkali kama chui, simba nk ukimuuliza ni kwa namna gani ameweza...
1 Reactions
6 Replies
994 Views
Ama kweli, ng'ombe wa maskini hazai. Kweli unamdanganya mumeo unaenda somewhere, kumbe unaufuata mjeredi, tena wa kijana ambaye ni play boy ilihali unalitambua hilo kabisa Imeniuma sana kushiriki...
9 Reactions
78 Replies
5K Views
Wanawake wanafikia mipaka unayowawekea wewe kama mwanaume. Anapogundua anaweza kukufanyia kitu chochote cha kukushusha hadhi yako na uanaume wako na mipaka yako bila wewe kumfanya chochote basi...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya muda mfupi, si zaidi ya miezi 6. Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano. Wa...
30 Reactions
186 Replies
10K Views
Waungwana natumaini mko salama. Basi bwana week end hii nikasema ngoja niibukie porini kidogo nikacheki watu wanaishije ishije huko pamoja na mishe nyingine nyingine. Shida ilianza baada ya...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu, Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana. Yaani hivyoo. Updates Wakati napost huu ujinga wangu wala...
29 Reactions
138 Replies
6K Views
Umemshawishi ukachukua namba ya mwanamke mzuri umtakaye. Akilini mwako ushapanga kumtoa out. Jinsi utakavyomfikisha kileleni na ufundi wako wa kitandani. Kadri siku zinavyozidi kwenda ndo unazidi...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Mara nyingi mke wangu ananinyima mapenzi yaweza hata kufika mwezi sijafanya ananinyima kwakuwa nimezidiwa huwa simfosi naamka napiga punyeto mbele yake kisha na nalala je sahihi au nifanyeje...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Nahitaji mwanamke aliyesoma/ mfanyabiashara/ anajitegemea/ mwenye cheo chake. Miaka 26 - 35. Nipo Dar, nimejiajiri. Kiongozi na mtawala. Cuddling expert. Nimetembea mikoa 10+, Ngorongoro...
2 Reactions
19 Replies
799 Views
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo Aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo...
18 Reactions
109 Replies
11K Views
Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Natamani saana kuishi maisha kama ya Diamond kwenye mausiano. Katika dunia hii kama kuna watu ambao wanaogopa ndoa nafikiri mimi number one! Naogopa kuoa saana, sio kwamba sijawahi kuoa hapana...
13 Reactions
64 Replies
3K Views
Wanawake mliopo ndoani mnajisahau wapi jamani. Kuolewa sio kujisahau, unakuta wenyewe mnatengeneza mazingira ya mtu kukuacha hapo akachepuke kisa mambo ya kipuuzi. Wanawake mliopo kwenye ndoa hebu...
2 Reactions
13 Replies
604 Views
Wanawake ni kama kenge, hasikii mpaka atokwe damu za masikioni. Tumeshasema sana ukialikwa dina njoo kama ulivyoalikwa. Mambo ya kuleta timu sio hekima. Kila siku tunasema. Leo nimemualika dogo...
40 Reactions
149 Replies
7K Views
Habari wa jukwaa, Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje? Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa...
3 Reactions
2 Replies
861 Views
Ni miaka 13 namba yangu simu natumia sijawai kubadilisha. Nipo kazini inaingia namba ambayo ngeni kwangu, kupokea ni ex wangu yapata miaka 8 iliyopita. Kumuuliza umepataje namba yangu?. Alikuwa...
3 Reactions
4 Replies
612 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ