Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baada ya kujua kichwa cha habari kinavyojieleza, leo jioni tumeachana na siwezi kurudiana naye, nimemwambia huyo mtoto apewe babake, amesema kwa mila zao hawezi kumpa babake mtoto wakati hakutoa...
52 Reactions
292 Replies
27K Views
Kwanini mna viburi hivi kwetu? Daaah yaani
2 Reactions
9 Replies
698 Views
Yaani sijui nina tatizo gani naweza mtamani mwanamke saaana nakuvutiwa nae naomba namba napewa natongoza anakubali anapokuja tuonane labda baa kwa stories mbili tatu ili kupanga miadi ya...
2 Reactions
15 Replies
943 Views
Waungwana naona hii weekend inaishilia hivyooo ila siko poa kabisaaa nahisi moyo unaungua huko ndaniii. Sasa turudi kwenye hoja ya msingi..... Unakuta mtu ana mwanamke au mwanaume wake...anajua...
12 Reactions
102 Replies
3K Views
Mkasa wake upo hivi... "Binti yake amemfumania nikifanya mapenzi na ex wake. Ni mara yake ya kwanza kuleta mwanaume nyumbani baada ya mume wake kuwa na safari za mara kwa mara mikoani. aibu...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa Sasa imekuwa...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Naombeni kujua bei ya Dozen ya Chupi za Wanawake zinauzwa kiasi gani kwa DSM Nataka nikamnunulie Mchumba zawadi
3 Reactions
74 Replies
28K Views
Habari zenu ndugu zangu? binafsi namshukuru huyu MUNGU kwa uzima. Ni jana tu siku ya alhamisi nikiwa natokea Dar kwenda Moshi mjini nikipanda gari ya umma (nikumbushie kidogo sio kila siku...
34 Reactions
163 Replies
19K Views
1. Mwanamke anakutembelea geto, unamwachia rimoti ya TV aweke chaneli anayoipenda, unakuta chapu mwenzio kaweka filamu za bongo muvi. 2. Mwanamke yeye ni wa kukubeep tu hapigi simu hata kama...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Maisha ya Mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na mawasiliano chanya ya kila siku katika mazingira yanayo mzunguka. Neno mazingira likijumuisha nyumbani, kazini, kwenye biashara, kanisani...
14 Reactions
60 Replies
4K Views
Tuambiane mchepuko wanini??
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Unakutana na mtu kwenye maeneo ya raha wenyewe mnakula biere na kuvibe na mwisho wa siku mnaishia kwenye one night stand. Kwenye tendo mtu anakuambia anataka mkulane nyama kwa nyama kwa madai eti...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari za siku nyingi watu wa Mungu. Hivi ni utaratibu gani unafaa kufuatwa katika kuchagua ndugu wa kuishi nao baada ya ndoa. Nakumbuka mwanzo kabisa kipindi namuoa mke wangu nilimjulisha kuwa...
30 Reactions
131 Replies
11K Views
1. Maneno ni mengi, kila mtu huwa na mazoea yake na namna anavyoishi na watu, siyo wote watakuona sawa unaposimama au kuzungumza na jinsia nyingine, mawazo ya mtu uweza kuwa tuhuma na shtaka kwa...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari Kama mwanaume umeumbwa na wivu nakuhurumia sana ndugu yangu, maana hata ukiwa na mwanamke innocent bado wauni watamsumbua, sasa imagine una mwanamke kicheche Nta-share visa kazaa KISA...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Dada wa diaspora alikuja mwaka juzi hapa Tanzania akampenda binti kisha kamuunganisha na kakake aliyeko nje ya nchi. Mambo yote ya kimahusiano yakaazia na kukamilikia kwenye simu. Mwaka jana...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Karibu katika somo hili la leo linalohusu biashara maarufu ya kununua wanawake "mahari". Mchanganuo au namna inavyo fanya kazi; Bidhaa Mwanamke [ Nyanya ] Wauzaji Wazazi upande wa mwanamke...
4 Reactions
5 Replies
969 Views
guest-1791802738
Kama Mnakumbuka jana ule uzi wa https://www.jamiiforums.com/threads/yule-kibonge-simtaki-tena.2071846/ Sasa Muda ule naandika ule uzi nilikuwa njee Napunga upep0 huku nakunywa wine Yangu pendwa...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa mfano mwanaume wewe unajijua kuwa ni mlevi, wewe ukikutana na mwanamke day one just show her your reality kuwa ni mlevi haswa kama ni wa kukupenda atakupenda ulivyo tu, acha kuzuga...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Unakuta mwanamke wa nguvu kimuonekano, lakini ukienda naye kitandani hajui a wala b. Anachojua ni kuvua nguo na kufungua miguu au mapaja na kujilaza tu hapo. Mengine we mwenyewe endelea! Kesho na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…