Kuna jambo nimeliona kwenye ndoa zetu hizi linachangia kiasi kikubwa tukose hata nguvu ya kumridhisha mwanamke
Unaamka asubuhi unaambiwa sukari, sabuni, mafuta mchele takataka zote hamna unaacha...
Habari wakuu, leo acha nimtolee uvivu huyu Jirani yangu (housemate).
Kwanza hongereni sana wakuu mliobahatika kujenga na kuishi makwenu, hakika hizi nyumba za kupanga zinakera sana na zina...
NIMESIKITISHWA SANA; KUMBE MAMA MKWE ALIWEKA CCTV CAMERA KWENYE NYUMBA ALIYOTUPA.
Anaandika, Robert Heriel.
Niweke wapi USO wangu!
Mambo yote hadharani!
Tupu zangu zipo ukweni,
Wanazitazama...
Kama kijana kuwa makini na wanawake WASHAMBA ndio wanaongoza kwa usumbufu na hata cheating kwenye mahusiano na ndoa.
Utaajuaje
1. Anathamini sana vitu na hafikirii mbele
- Anamiliki iphone 13...
Wakuu habari zenu
Juzi kuna jamaa yangu alikuja kuniuliza swali nikashindwa kumjibu. Anasema ameoa hivi karibuni ndoa yake ina miezi miwili sasa hivi. Lakini anachosema mke wake hataki siku ipite...
Kwa muda mrefu nimekua nikipitia nyuzi mbali mbali za wanajamvi zinazohusu maswala ya mapenzi na stori mbali mbali za watu kuchakatana shuhuda nyingi za wadau wa umu ni wachakataji wazuri yani...
Mimi ni kijana me umri miaka 29 naishi mkoa X shida yangu nakosa HAMU ya mpenzi au kufanya MAPENZI Ila Niko rijali kabisa tatizo nikitongoza tu mwanamke akanikubalia hapo nakuwa Sina HAMU nae...
1. Wanawake wengi wanafikiri wanaweza kumshawishi mwanaume yeyote kupitia ngono.
Bila shaka, wanaume wa kawaida wanapenda ngono. Lakini kupenda ngono na kumpenda mtu wa kufanya naye ngono ni...
Wikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani!
Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako.
Nikiangalia mfukoni, zimebaki...
Hali ni mbaya sana, wake za watu wamekuwa warahisi sana, wanatafunwa kirahisi mno, mbaya zaidi hawaoni Shida kutoa siri za mume wake kwa mwanaume wa nje, kifupi ukigundua mke wako ana mwanaume nje...
Jana jamaa yangu yamemkuta hana amani ya moyoni, pana mke wa mtu mumewe wake anafanya Kazi mkoani anasema alikuwa anapitia, mke akanasa mimba mtoto kazaliwa mke wa mtu kamwambia jamaa huyu ni...
Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za sasa hugubikwa na usaliti kwa pande zote mbili, na hii ni kutokana na maisha tunayoishi kwa sasa ya utandawazi.
Lakini likija suala la usaliti kwa mwanaume...
Kuna pisi niliielewa kitambo nikawa nimepromise kumtafuta. Akacheka tu. Sasa Leo nimetinga kazini kwake. Kuniona tu akawa haeleweki. Kiufupi kama akawa unstable kind of. Sasa nikamuita anagoma...
Habari?
Hili jambo napenda kulisikia kutoka kwenu kabla sijafanya maamuzi ambayo sijui matokeo yake yatakuwa mazuri au mabaya.
Kuna mwanaume ninampenda sana ila nimeshamkamata katika usaliti wa...
Siku hizi kuna kundi la watu wanaopinga ndoa (KATAA NDOA) na kuhamasisha watu wasifunge ndoa - lakini wengine wamekuwa wakifanya 'me-time' na kujisaidia wenyewe. Ndio maana leo hii nataka kuandika...
Habari za jukwaani wana MMU,
Leo napenda ku declare interest kwamba kiukweli huwa napenda sana wanawake weusi iwe ni maji ya kunde au weusi kabisa real black beauty A.K.A mama Afrika.
Wanawake...
STORY NYINGINE HII HAPA.
Wakuu haya mambo ya wanawake kunyanyasa wanaume yameshika kasi sana.
Sasa hivi ukikaa na wanaume watatu waliooa au wanao ishi na wanawake mmoja ana shida ya kufa.
Jamaa...
Sifa kuu ya mwanamme ni kutokuwa mbinafsi. Ndo maana mwanamme ana kiatu pair moja ila mke na watoto wake wana vaa nguo nzuri na viatu vya kutosha.
Zamani wazee wetu kabla ya kuoa lazima...
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.👇
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇...
Wakuu naomba tupeane mawazo kuhusiana na swala hili linalosumbua sana katika mahusiano.
Kumekuwa na tabia ya wanawake kuwanyima wenza wao unyumba kwa sababu tofauti, lakini kubwa zaidi tutazame...