Mwanamke kupenda sana ngono, tatizo linaweza kuwa nini?

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Oct 28, 2019
1,044
1,996
Wakuu habari zenu

Juzi kuna jamaa yangu alikuja kuniuliza swali nikashindwa kumjibu. Anasema ameoa hivi karibuni ndoa yake ina miezi miwili sasa hivi. Lakini anachosema mke wake hataki siku ipite bila kufanya ngono.

Sasa jamaa anasema yeye wakati mwingine anarudi amechoka, akimueleza mwanamke haelewi anachokitaka ni kufanya. Wakati mwingne hasa siku za weekend jamaa anasema mwanamke anaweza taka asubuhi, mchana na wakati mwingne jioni na hapo usiku atamsumbua ili ampige kingine.

Sasa jamaa anauliza mwanamke atakuwa ana jini la ngono au atakuwa ana nini? Anasema akimnyima mwanaume akamuelezea hizo sababu za uchovu anahama kitandani na kwenda kulala sebuleni kwa hasira. Sasa jamaa haelewi huyo ni mwanamke wa namna gani ambae yeye hachoki?.

Naombeni majibu ndugu zangu.
 
Ni mlaji sana wa chocolate? Chocolate inaboost genye kinyama kwa baadhi ya KE.

Pia hamkojozi ipasavyo, akubali akatae. Angekuwa anampa mikito heavy sidhani kama bidada angekuwa hatosheki. Ukinjunjiliwa ipasavyo huwezi kutaka daily aisee unless awe na unusual something else.
 
No more comments. Depay.

Pia unajua hawa wanawake wa siku hizi ambao kipindi mnajigijigi alafu yeye anawaza deni la vikoba mara pesa ya saluni huwa hawafiki kibo.
 
Ni mlaji sana wa chocolate? Chocolate inaboost genye kinyama kwa baadhi ya KE.

Pia hamkojozi ipasavyo, akubali akatae. Angekuwa anampa mikito heavy sidhani kama bidada angekuwa hatosheki. Ukinjunjiliwa ipasavyo huwezi kutaka daily aisee unless awe na unusual something else.
Hapana, tatizo sio kutomkojoza. Wapo baadhi ya girls wanaotaka kila siku umpe kwa sababu tu unamkojoza vzuri.
 
Sasa kupenda kuliwa na pepo la ngono kuna uhusiano gani?

Mwanamke au mwanaume mwenye jini mahaba huwa hapendi kusex na mwenzi wake maana kiu yote inachukuliwa na jini ambaye hufanya naye mara kwa mara.

Kama jini la mahaba basi analo huyo mwanaume.

Hiyo hali ni ishara ya utimamu wa via vya uzazi vya mwanamke
 
Back
Top Bottom