incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
Habari wakuu, leo acha nimtolee uvivu huyu Jirani yangu (housemate).
Kwanza hongereni sana wakuu mliobahatika kujenga na kuishi makwenu, hakika hizi nyumba za kupanga zinakera sana na zina matukio yanayotia kinyaa sana.
Leo nimeamka nikajikuta kichwa kizito kidogo nikasema wacha nikajipumzikie nyumbani, ila sasa ninayoyashuhudia hapa kwa mpangaji mwenzangu kwa kweli yanatia kinyaa.
yaaani jamaa wanabebana na mke wake koridoni, wanakuimbizana mara kupigana mabusu hadharani, mara wakimbizane hadi nje na cha ajabu jamaa linalegeza sauti kabisa tena hadharani. Eti ndio liko "Romantic".
Mimi leo nasema hapa kuwa "HUU NI UBWEGE NA ULIMBUKENI". Hakuna upendo wa hivi, huu ni ulimbukeni na wehu tu.
Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app