Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,121
- 4,174
Kama unataka kuwa na mwanamke zingatia ratio ifuatayo;
1. Mwanamke nayependa outing hotels, pamba kali, lavish apartment, simu nzuri na Usafiri.
Rafiki yangu hapo lazima uwe highly paid, waleti iwe imevimba, kipato chako si chini ya 10,000,000. Kinyume na hapo unatafuta dharau, cheating na kejeli. Mara nyingi hawa ni wafanyabiashara wakubwa, wakurugenzi na huwa wanalipa kwa CARD hawatembei na cash maana wana hela nyingi.
2. Mwanamke anayependa night clubs, pub, beach, pamba kali, simu, cheni fulani n.k.
Huyu lazima uwe na kipato fulani kama cha mawazo mawazo. Mara nyingi watu wanaomiliki wanawake hawa huwa ni wafanyakazi wenye vipato kuanzia 2M mpaka 5M, kausafiri fulani ka premio ama crown ka mkopo.
3. Mademu watafutaji, hawa hawana time, attention, wao wana ambitions zao kwenye maisha, humiliki viwanja ama kagari fulani hivi, ki IST au RUNX.
Huyu lazima uwe mchakarikaji, hata kama una kipato cha kawaida mtaishi ila lazima uwajibike kama mwanaume mkisaidiana kusomga mbele.
4. Wanawake wacha mungu na wapenda ndoa na utulivu.
Hawa huwa ndio wale mvumilivu hula mbivu, hawana mahitaji mengi zaidi kutunza watoto na kuilinda nyumba na maombi.
Ukitaka kuishi vizuri na huyu pesa sio kigezo, uwe nazo nyingi au kidogo lazima umpende na kumheshimu na kuiweka familia mbele. Hawana habari za trending fashions, phones wala outings.
Kwahiyo usilazimishe kuwa na mwanamke namba 1 wakati wewe upo kwenye namba nne, au mbili au moja la sivyo itakugharimu. Imewagharimu wengi, wameishia kusema wanaume wote ni mbwa na wengine kusema wanawake bila kuwa na hela hutoboi.
Ni mtazamo tu.