Chukua hii...

an alpha male

JF-Expert Member
Mar 28, 2022
831
1,748
kwenye mapenzi...

Wanawake huwa hawawana upendo ila wanatengenezewa upendo na mwanaume...naamaanisha nini?

mwanamke anaweza kukupenda wewe kama alivyompenda mwanaume wake wa kwanza katika kiwango kile kile hata kama kabla alishawahi kuzinguliwa kwenye mahusiano na yule mwwnaume wake wa kwanza(ni kama dumu tupu ambalo unaweza kujaza chochote utakacho)... ..ila kwa mwanume ni kitu haiwezekani.

kadri mwanaume anavyo kutana na wanawake wengine,,,,upendo huwa una pungua yaan hawezi kutoa upendo kama ule aliouonyesha kwa yule mwanamke wake wa kwanza.

Kitu ambacho kwenye mapenzi wanawake hawana ni unafki, kama hakupendi mwanamke atakuonyesha tu kupitia matendo yake...mara asijibu text zako, calls hapokei,..kuna kinds of drama nyingi sana zinatokea, ila baadhi ya wanaume ndo huwa ving'ang'anizi mwisho wa siku wanapigwa matukio.

Ila wanaume kwenye mapenzi ni wanafki, anaweza kuchat na wewe, mpaka hata saa 8 ya usiku lakini akawa hakupendi kabisa na hana hata malengo na wewe..akakupigia mara kwa mara...ukahisi kabisa ananipenda kumbe deep down there is no, something like dat...

kwenye urafiki

tukija Kwenye swala la urafiki wanawake hapa ni wanafki vibaya sana,,,yaani mwanamke akiwa na rafiki yake wakike wakiwa pamoja atamsifia lakini akitoka tu utasikia "huyu naye..mbaya shepu hana, kama motorola bapa.." wakati yupo utakuta alimsifia lakini akitoka tu ndo utasikia hayo.

ila kwa wanaume hawana unafki kwenye urafiki...utakuta mwanaume yupo na rafiki yake wakiwa pamoja hawezi kumsifia atamkandia sana...huyu jau snitch tu mzinguaji...na vimatusi vya kimtindo...ukisikia utasema dah jamaa kweli jau...ila siku huyo rafiki yake asiwepo halafu jamaa labda yupe na washikaji wengine hapo ndo utasikia anamsifia..oya yani yule ni rafiki yangu sana, namkubali vibaya yaani...na some sort of appreciation kibao...

wanaume ni wanfiki kwenye mapenzi, wanawake ni wanafki kwenye urafiki.
 
Kimekukuta nn?
 
Naunga hoja 💯💯💯
 
Hii umeongea n point
 
JamiiForums-521756854.jpg
 
Ukweli waishi nao wanawake. Wanaume tunaanza kutamani kisha kunafata kupenda. Wasijisikie vibaya tunapo watamani kuwagonga
 
Back
Top Bottom