Jinsi ya kujua kiwango cha hasira za Mwenza wako

Jinsi ya kujua kiwango cha hasira za Mwenza wako

KENGE 01

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
1,772
Reaction score
4,398
Tafiti za Kenge,

Bila salamu,Kama unataka kujua kiwango cha Hasira za mtu.Kwenye jamii utaskia yule Jamaa(ANA HASIRA ZA KARIBU SANA) au (yule HANAGA HASIRA KABISA ATA UMCHOKOZE VIPI HAKASIRIKI) Kwahiyo kumbe kwenye Jamii kuna Level za hasira kuna wenye Hasira za karibu,Hasira za Mbali na ambao hawakasiriki kabsaa.

Sasa Tafiti zisizorasmi zinakuletea mbinu ya kujua HASIRA za mwenza wako kirahisi ili kujiandaa kuzikabili na kujua jinsi utavyoishi.

UTAFANYAJE SASA??

Ukiwa umelala nae,amka usiku wa manane muamshe kwa nguvu kwa kumtikisa huku ukimuita jina lake
mfano:Mimi KENGE nimelala na Mama chanja alafu aamke usiku wa manane aanze kuniamsha kwa nguvu huku akiita KENGE..WE KENGE AMKA AMKAAA KENGE WEWE. Hapo kuna REACTION itatokea, tena reaction tofauti kwa watu tofauti

1.Kuna watu ukiwaamsha usiku au hata mchana ataamka na MATUSI MAZITO MAZITO na wengine wanaenda mbali zaidi na KUAMKA NA NGUMI MKONONI yaani ukikaa vibaya unashangaa kitasa kizito (Basi ujue aina Hii ya watu wana HASIRA ZA KARIBU SANAA)

2.Kuna watu wataamka tu na kisirani na kununa alafu baada ya mda anakaa sawa na kusikiliza nini tatizo(WATU HAWA WANA HASIRA ZA MBALI)

3.Wengine wataamka bila Matusi wala Hasira na kwa ustaarabu kabisa ataamka akusikilize shida yako kwa utulivu kabisa (WATU WA AINA HII NI WAPOLE NA WASIKIVU)

Hii ni test kama test nyingine kama ilivyofanyiwa Salvation,Optiometry test,Lumber puncture method(MD na CO mnaelewa vzur)basi na hii ipo na inafanywa

Kwahiyo mbinu ndo iyo japo inaweza kuingiliana na vitu kama uchovu,Pombe na Ugonjwa

Pia usijaribu kwa mtu mwenye matatizo ya Moyo kama Presha

For your own risk

WAKO MTIIFU KENGE,
NAWASILISHA
View attachment 2579039
 
Hasira ni kwa binadamu yeyote...Tena kwa ushauri tu usijaribu kupima hasira ya mtu due utajitafutia matatizo Bure....wapo wanaweza kutawala hasira na ambao hawawez....imagn uko na Dem geto anaonge na msela mwngine then anaairisha ratiba ya kuwa nawe na anaenda kwa msela Tena bad enough ukute ni usiku afu anataka um escort kabxa .....kama mwanaume rijali sidhan kama utawez kuzuia hasira zako....Kuna reactions tu zinakujia
 
Atakua amekushusha sana
 
Ndio lakini ni muhimu sana kupima hasira
 
Kwa wanaume/wanawake tumieni njia hizi.
1. Mpe ahadi ya mtoko demu/mshikaji wako halafu ajiandaye amalize dakika za mwisho kabisa mpigie simu uahirishe mtoko bila sababu. Asipofura na kugomba endeleza mahusiano mpk ndoa.

2. Mkiwa mnakula bite somewhere zua la kuzuia tu halafu ufanye kama unamchenjia .....mwanamke akilia muoe. Na mwanaume akiinama bila kusema neno kubali kuolewa naye.

Lkn ukiona anatoa macho kama kenge na maneno mengi kama bomba la maji taka piga chini haraka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom