Kila kukicha sifa ya ndoa au mahusiano inazidi, ikipata sifa mbaya vijana wengi wana wasiwasi kuanzisha familia Maana saiv n majanga juu ya majanga
Watu kuuana ndio umekuwa mtindo, upendo haupo...
Wakuu kwema ? Hope mko salama kabisa
Mimi Nina kisa changu ambacho kinanitesa saana tena sana kila nikikumbuka najitahidi kusahau baada ya mda Hali inarudi upyaa.
Nilikua na mpenzi wangu alikua...
KWA WANANDOA
Vipo Vitu Vingi Sana Vinavyowaunganisha Wanandoa, kama Kazi | Biashara | Watoto | Ndugu | Maisha ya Kiroho
Ila Binafsi, Najua Kinachowaunganisha Zaidi Wanandoa Maisha yao Yote ni...
Huwa inaanza vizuri tu unapojiwekea msimamo hutaki kuoa ukiwa kwenye 20s lakini joto huanza kupanda ukishafika 35+
Unaanza kupewa taarifa au kupata mialiko kwamba yule mtoto wa mjomba aliekuwa...
Sex ni kuburudisho kikubwa kwa mwanaume lakini ni tendo lenye majukumu mengi sana.
Unapokuwa na girlfriend umeshajiingiza kwenye mtego wa kumhudumia, utalalamika vizinga lakini unajua fika hilo...
Kuna binti jana kaniambia ana mimba yangu aisee nimestuka nikatamani nimpasue
Mimi ndio kwanza najitafuta miaka yangu 28 na tanzania maisha ni magumu kila siku yanazidi kuwa magumu
Anataka...
Ubora wa kitu chochote huwa ni kati kwa kati.Ukionyesha heshima kupitiliza kwa mtu yeyote unaweza kugeuzwa mtumwa kwa kulazimishwa kuhatarisha maisha yako kwa lengo la kumfurahisha mtu ambaye...
Nimetokwa na machoz, nkikumbuka venye dem huyu nlivyojitoa kwake.
kwel n machungu na nimeumia sana,nlijinyima iliapate,ila amesema hanitak mm sio ya type yake,saiv yupo na mjuba mwenye mapen...
Hello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa...
Nikiwa na umri wa miaka 19 nilikabithiwa na bibi mzaa mama mkoba wa uchawi. Bila kuukataa niliupokea kwa kuaminishwa ungenisaidia ningeweza kufaulu na kufanya vyema kielimu, kwani ilikuwa ni kiu...
Kwema wakulungwa.
Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja...
Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax.
we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike...
Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu.
Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa...
Tafiti nyingi za kisayansi zimefanyika na zingine zinaendelea kufanyika.
Kwa sasa kuna uwezekano mkubwa sana wa kujua idadi ya wanaume walioshiriki ngono na mwanamke.
Mwanamke anaposhiriki ngono...
Zijue tofauti mbali mbali Kati ya wanaume masikini na wanaume matajiri.
1.ulaji; siku zote kula ya mwanaume wa kitajiri kamwe haifanani na kula ya mwanaume wa kimaskini.Hapa sizungumzii uwezo wa...
Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.
Unampeleka huko ili mtoto...
SHALOM WANA WA MUNGU ALIE HAI
TABIA MBAYA KWA MUMEO NDIO INALETA MWANAMKE MWINGINE KWENYE NYUMBA YAKO
MPENDWA ULIEOLEWA MUMEO AKITOKA NJE SHETANI ATAITUMIA KUPATA MWANAMKE AMBAE HANA HIO TABIA...
Wasalaam nyote,
Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, πππππ
Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko...
Waganga ni watu walioridhishwa kutibu watu na shida zao mbali mbali .
Ikiwemo kutoa majini,
Kutoa vifungoo
Kutoa uchawi uliowekwa mwilini au katika nyumba za watu .
Kurudisha nyota...