Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Usiwaamini wanaofanya dharau kuwa jambo la kawaida Wanapokupotezea — wanadai wako busy. Wanapokukosea— “human nature.” Lakini wewe ukifanya hata nusu ya hayo ghafla umebadilika, Umeanza kiburi...
5 Reactions
4 Replies
187 Views
Bongo kuna tatizo gani? Kwanini mwanaume au mwanamke akionekana barabarani na mpenzi wake wakiwa pamoja huwa idadi kubwa ya watu inawashangaa sana? Kwani mapenzi Bongo ni dhambi, aibu au dhahabu...
6 Reactions
33 Replies
587 Views
Wadau naomba ushauri wenu. Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha...
12 Reactions
116 Replies
2K Views
Nani atakubali mimi niwe dada yake ?? Natamani mwanaume m,moja wa kumuita kaka yangu. Naweza kusimama popote na nikasema nina kaka yangu. Nitamtambulisha kwa wazazi wangu kuwa naye ni mtoto...
31 Reactions
249 Replies
3K Views
  • Redirect
1. Uchovu 2 matiti kujaa 3. Hasira
1 Reactions
Replies
Views
Na sijui kwanini Wanawake wengi wenye haya Mashauzi ya kujifanya Wao ni wa Thamani kubwa Hivi huyu Dada ni wa Thamani hiyo kweli hata ukimuangalia tu hapa katika hii Picha Mjongeo? Angalia...
3 Reactions
21 Replies
681 Views
Soma yaliyomo kwenye hii Link: https://asubuhinews.com.free/update/doing-sexual-intercoursedatingfalling-in-love-is/3507574
6 Reactions
10 Replies
265 Views
Katika maisha 85% ya matatizo ambayo unaweza kupitia yanatokana na uhusiano wako na watu wengine waliokuzunguka ndiyo maana kila mtu akianza kusimulia kufeli kwake, kuharibikiwa kwake atakuwa na...
4 Reactions
4 Replies
448 Views
Huwa napiga mtungi, wifi yenu ana mdogo ake 33yrs umri wake, asa sijui wakati wa mchenetu jamaa anakuwa katika hali gani, maana sielewi kwa umri huo lazima kichupa kinajaa sana
6 Reactions
17 Replies
651 Views
Wakuu, Kua uyaone na si magari wala maghorofa.katika familia nyingi za kiafrika wanaume wengi wanalea watoto ambao sio wao,na kiukweli hawalijui hilo,wanawake wengi wanapewa ujauzito nje ya ndoa...
3 Reactions
12 Replies
778 Views
Juzi nilileta Uzi humu kwamba Kuna mwanamke anasema anaujazito wangu nimemuambia atoe Sina shida na mtoto Sasa hivi sababu najitafuta umri wangu miaka 28 maisha ya tanzania magumu nitazidisha...
7 Reactions
30 Replies
631 Views
Ni wizi huu wa sehemu nyeti kwa njia za kishirikina uliokuwa maarufu Congo na sasa umeingia Tanzania, Wizi huu unaripotiwa na wahanga pale mtu mnapokutana akikushika mkono au kukupiga begani huku...
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Jamani kuna binti alikua mpenzi wangu sasa kuna siku nilienda kwake nikafanya yaliyonipeleka nilikua nimevaa boxer mbili moja kama bukta zile za juu na ya ndani ya polyester ya kubana Sasa ile...
4 Reactions
5 Replies
363 Views
Habarini jamvini? Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi...
24 Reactions
128 Replies
6K Views
Katika mazingira ya kazi za umma, mara nyingi kuna mifumo iliyowekwa inayosaidia kudhibiti mamlaka ya viongozi na kuhakikisha uwiano wa heshima na uwajibikaji. Ni nadra kukuta kiongozi akitumia...
1 Reactions
8 Replies
372 Views
Salaam jamiiforum forum. Kwa wakristo wenzangu , hususan Roman katoliki,Leo ni Alhamisi kuu, Ni bado saa chache tu mkombozi wetu aanze kupitia maumivu. Kwani tayari Yuda ana Vipande thelathini...
4 Reactions
8 Replies
285 Views
Habari za wakati huu wakubwa. Jamani nimenasa kwenye penzi na Mmama mmoja mtu mzima.Japo siyo mara yangu ya kwanza ku date na hawa viumbe wakubwa , lakini kwa huyu daah. Jinsi...
20 Reactions
182 Replies
13K Views
Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta...
7 Reactions
95 Replies
1K Views
Back
Top Bottom