Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika kizazi tulichopo ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Kwanza original deal of marriage ilikua ni mwanamke bikira na mtiifu kwa mabadilishano ya lifetime protection na provision kutoka...
22 Reactions
111 Replies
2K Views
Mke wangu nimeishi naye wastani wa miaka 4 sasa alikuwa mnyenyekevu, mpole, si muongeaji sana hata akiwa na wenzie, heshima kwangu ni miongon mwa vitu nilijivunia kuishi naye, kuniskiliza na...
20 Reactions
81 Replies
3K Views
sijajua imekua trend au ndio ulofa wa zama hizi, mtoto wa kiume una toa wapi nguvu ya kulala na kukoroma ukweni? Sifa ya mwanaume ni kupambana uwe na himaya yako, hata kama umepanga still ni...
11 Reactions
53 Replies
648 Views
Niaje wakuu, maisha yanaendaje pande hizo? Wanasema hata ukiwa kiboko kuna mahali utazidiwa, hebu leo tuzungumzie nyakati ngumu tulizowahi kupitia ambazo zilikufanya useme au ujue hali si hali.
10 Reactions
127 Replies
5K Views
Ipo hivi, mwezi wa 10 mwaka jana nilitembelewa na mwanadada mmoja mzuri wa Kichaga ofisini kwangu. Nikamuhudumia vizuri na nikampa namba kwa lengo la kunipigia tena pindi atakapotaka huduma...
16 Reactions
86 Replies
2K Views
Kila kukicha sifa ya ndoa au mahusiano inazidi, ikipata sifa mbaya vijana wengi wana wasiwasi kuanzisha familia Maana saiv n majanga juu ya majanga Watu kuuana ndio umekuwa mtindo, upendo haupo...
2 Reactions
6 Replies
304 Views
Wakuu kwema ? Hope mko salama kabisa Mimi Nina kisa changu ambacho kinanitesa saana tena sana kila nikikumbuka najitahidi kusahau baada ya mda Hali inarudi upyaa. Nilikua na mpenzi wangu alikua...
18 Reactions
127 Replies
3K Views
KWA WANANDOA Vipo Vitu Vingi Sana Vinavyowaunganisha Wanandoa, kama Kazi | Biashara | Watoto | Ndugu | Maisha ya Kiroho Ila Binafsi, Najua Kinachowaunganisha Zaidi Wanandoa Maisha yao Yote ni...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Huwa inaanza vizuri tu unapojiwekea msimamo hutaki kuoa ukiwa kwenye 20s lakini joto huanza kupanda ukishafika 35+ Unaanza kupewa taarifa au kupata mialiko kwamba yule mtoto wa mjomba aliekuwa...
4 Reactions
19 Replies
448 Views
Wanajua kupenda halafu hawana tamaa
5 Reactions
20 Replies
775 Views
Sex ni kuburudisho kikubwa kwa mwanaume lakini ni tendo lenye majukumu mengi sana. Unapokuwa na girlfriend umeshajiingiza kwenye mtego wa kumhudumia, utalalamika vizinga lakini unajua fika hilo...
14 Reactions
28 Replies
623 Views
Kuna binti jana kaniambia ana mimba yangu aisee nimestuka nikatamani nimpasue Mimi ndio kwanza najitafuta miaka yangu 28 na tanzania maisha ni magumu kila siku yanazidi kuwa magumu Anataka...
3 Reactions
54 Replies
843 Views
Ubora wa kitu chochote huwa ni kati kwa kati.Ukionyesha heshima kupitiliza kwa mtu yeyote unaweza kugeuzwa mtumwa kwa kulazimishwa kuhatarisha maisha yako kwa lengo la kumfurahisha mtu ambaye...
10 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimetokwa na machoz, nkikumbuka venye dem huyu nlivyojitoa kwake. kwel n machungu na nimeumia sana,nlijinyima iliapate,ila amesema hanitak mm sio ya type yake,saiv yupo na mjuba mwenye mapen...
6 Reactions
9 Replies
256 Views
Hello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Nikiwa na umri wa miaka 19 nilikabithiwa na bibi mzaa mama mkoba wa uchawi. Bila kuukataa niliupokea kwa kuaminishwa ungenisaidia ningeweza kufaulu na kufanya vyema kielimu, kwani ilikuwa ni kiu...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Kwema wakulungwa. Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja...
8 Reactions
47 Replies
4K Views
Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax. we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike...
3 Reactions
17 Replies
478 Views
Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu. Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa...
1 Reactions
80 Replies
6K Views
Tafiti nyingi za kisayansi zimefanyika na zingine zinaendelea kufanyika. Kwa sasa kuna uwezekano mkubwa sana wa kujua idadi ya wanaume walioshiriki ngono na mwanamke. Mwanamke anaposhiriki ngono...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Back
Top Bottom