Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimesikia watu wakiita wengine hivi, maana yake nini? ili mtu aitwe mashindikanaa anatakiwa awe na sifa zipi?
2 Reactions
2 Replies
364 Views
NASISITIZA; BINTI USIZAE KABLA HAJAKUOA "EPUKA KUWA SINGLE MOTHER" Na, Robert Heriel Elewa kuwa jukumu la kubeba mimba Kwa mwanamke ambaye hajaolewa ni lake mwenyewe sio la mwanaume. Sisi...
17 Reactions
84 Replies
6K Views
Akina mama habari zenu? Naomba mniwie radhi kwa kuwauliza maswali fikirishi yanayohusu hali mnazoangalia ili mwanaume uweze kumsaidia kinywaji aweze kukata kiu yake. Maswali yangu hayamaanishi...
9 Reactions
299 Replies
21K Views
Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha. Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira...
24 Reactions
474 Replies
123K Views
Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu. Wengine akina GENTAMYCINE...
9 Reactions
66 Replies
8K Views
Asalaam, Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia. Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu...
155 Reactions
819 Replies
55K Views
Atakurahisishia mchakato wa mapenzi. Usifanye mambo yawe magumu ukishajua hilo. We utafanya mambo yawe magumu ukifanya makosa haya; Kuwa muoga, Kumuachia uongozi yeye, mfano kumuuliza “ivi si...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kenge tena, Aisee Fanya ujinga wote taniana na Mwanaume mwenzio na kama unamdai ukimuona mjini mdai haswa ILA kama unataka kuona rangi yake nyingine jaribu kumuaibisha/ kumdhalilisha mbele ya...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Utafiti unaonyesha kuwa mitazamo ya vijana wa kizazi cha sasa cha milenia kuhusu uchumba na ngono ni tofauti na watangulizi wao. Watu waliozaliwa kati ya mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilikutana na huyu dada 2019. Nikawa natumia. Wakati huo alitoka kufiwa na mme wake. Mme alikufa kwa ajali. Ana watoto 3 na mmoja alikuwa mdogo Sana wakati nakutana nae. Sasa kamekua kapo awali...
2 Reactions
18 Replies
896 Views
Sijui kwanini, ila katika pita pita zako unakutana na mtu ukamwelewa but ukawa huwa mawazo ya kukutana nae kimwili hivi karibuni. ila baada ya muda unaanza kuonekana hauna mapenzi ya kweli au...
10 Reactions
65 Replies
4K Views
Wakuu, Bila shaka mnamfahamu yule Mchepuko wangu fundi cherehani mwenye mtoto ambae kila Mara nmekua nikimsifia humu kwa heshima,adabu,utii na akili kubwa Sana ya maendeleo. Huyu mwanamke tangu...
16 Reactions
227 Replies
17K Views
Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi. Sasa leo nadhani alisahau...
41 Reactions
179 Replies
10K Views
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm. sifa; Asiwe mvaa milegezo Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa...
8 Reactions
98 Replies
10K Views
Ewe mwanamke ambaye umeolewa na mume bahili wa mapenzi, mumeo hajali hisia zako, kila siku ni kutoelewana ndani ya nyumba kwa sababu ya tabia zake mbovu. Nafsi yako haina utulivu, unatumia nguvu...
2 Reactions
5 Replies
12K Views
Poleni na changamoto za kujikinga na corona,kwa kuzingatia maelekezo ya wataalamu wa afya tutashinda hili janga,na hili nalo litapita. Naomba nijielekeze kwenye mada, Nimekaa na hili moyoni kwa...
35 Reactions
257 Replies
26K Views
Habari wakuu! Mwanamke ni msaidizi wa maisha kwa mwanaume. Ukipata mwanamke bora mwenye sifa za kuwa mke Basi uwezekano wako wa kutoboa kwenye maisha ni mkubwa. Tupe experience alianza vipi...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wadau wangu wa ukweeeeeeeeeeeeeeeeeeee Leo nimeleta kwenu MADA ambayo inahusu kujadiliana hivyo unachangia kile ukionacho wewe na sio kuponda wengine kuhusu Swali hili: JE ELIMU INA...
6 Reactions
174 Replies
14K Views
A GIRL IS ONLY RELATIONSHIP MATERIAL IF SHE 1. Has never cheated before 2. Knows how to cook properly 3. Uphold traditional family Values 4. Supports your goals wholeheartedly 5. Learned to...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Kuna watu nawaona hawana akili au ni malimbukeni hivi unaanzaje mwanamke kumnyanyasa dada anaekuesaidia kazi hapo nyumbani kwako (housegirls) mtu ambaye anaingia nyumbani kwako kila sehemu, mtu...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…