Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika harakati za kutafuta mtu wa kuanza naye maisha naona ugumu sana nimchague nani kwan nina marafiki wa kila aina. moja, ninaye rafiki msomi sana a lawyer lakini simwelewi mwelewi kwan ni...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani...
6 Reactions
79 Replies
6K Views
Kuna jirani yangu jana aliingia matatizoni na simu kuvunjwa vipande vipande, yaani sisi wanawake sijui tuna matatizo gani? Yaani unakuta mtu ana mimba halafu anafanya umalaya. Mumewe akiwa kazini...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya masuala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira. Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu. Ila...
43 Reactions
206 Replies
10K Views
Habarini wana jamii nilikuwa nina swali hivi mnaweza je kuishi na mwanamke anaongea ovyo na kiburi
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Hellow Africans Hivi inakuwaje mwanamke unamgeuza mwanaume kuwa kitega uchumi? Unakuta mwanamke anasema mimi mwanaume simuombi vocha wala nauli mimi namuomba hela kubwa kubwa yaani kidogo 200000...
12 Reactions
157 Replies
5K Views
Wanawake nawakaribisha mtoe neno moja kwa dume lililokutoa bikra, inawezekana bado uko naye au yuko mbali mshaachana naye. Kupitia uzi huu nimeona siyo busara kuwasahau hawa watu muhimu katika...
2 Reactions
168 Replies
17K Views
Anasema anajutia na anajilaumu kuachana na mimi ila kwasababu isha be openly to everybody let it be kwamba tusirudiane ila anaumia kuachana na mimi na anasema tusitafutane tusije tukarudiana...
10 Reactions
128 Replies
17K Views
Mambo vipi.. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada Katika pita pita zako unakutana na dem mkali tu kakuvutia. Unaanza kumtongoza ukiwa legend sana na kwa dem wiki tu ameshakubali. Haya Wiki...
50 Reactions
168 Replies
11K Views
Wakati nimefika ofisini nikakutana na bonge la joka limekaa mezani likanipa ishara niketi chini uku linikitizama. Nikaketi kitini nalo likatoka mezani na kuketi kwenye sofa huku linanipiga jicho...
15 Reactions
153 Replies
6K Views
Wanawake jifunzeni basi, hata kama mme wako nakushirikisha mara chache kwenye deals zangu za biashara usijiweke uhusika ambao sijakupa. Kuna mwanamke nimezaa nae na anakaa kwenye nyumba yangu huko...
42 Reactions
158 Replies
8K Views
Jaman wanaume wa nigeria hapana mfano wake hawa wanaume ni wapo tofauti sana uwanjani na hata kuhudumia wako makini sana wanaenda na muda Wanaume wa Tanzania igeni pia kwa hawa lakini nahisi...
8 Reactions
150 Replies
8K Views
Kwa wale wanaume ambao hamjaoa, bila kujali hisia zako kwa msichana, kamwe usitume emoji za matango na ndizi. Jiheshimu na umheshimu msichana wako. Kuna zaidi ya upendo na maisha kuliko hamu yako...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Mke wangu ni Elineema Shayo mtoto wa kibopa,msomi wa ngazi ya shahada ya uzamili na mwanamke au katika wanawake wenye akili kuwahi kuishi nae maisha yangu sijui kwanini nimechelewa kumpata ila...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Mpo poa! Nasema hivi hamnibandui ng'oo Kwa huyu mtoto. Sijawahi kukutana na Mwanamke mwenye mapenzi matamu kama huyu. Endeleeni kupiga kelele Watoto wa elfu mbiri. I'm out
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Jamani kwanini wanaume hamtulii mnakosa Nini?? Lazima uwe na mweusi ,mweupe , mwarabu ,mhindi, yaaniwafrika hadi keroo . Mnachoshagaza serious , ni baada ya jirani yetu mkewe kasafiri na bado...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Hello members, I was gone for some time hope mko poa,,,kuna kijamaa kinanidanganya eti hakijawahi kufanya kabsa. sasa tumepanga kinaniambia it will be his first time.. My question sasa utawezaje...
9 Reactions
161 Replies
45K Views
Ukimpa upendo kirahisi hatouthamini sana. Hatojiachia vizuri kihisia kwako vile utakavyo. Hauna thamani sababu hajapata shida kuupata. Hajahangaika amepewa tu. Japo ni wapenzi lakini mahusiano...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jamvi, Mwenzenu leo nimekuja nnaomba ushauri, Ni zaidi ya miaka miwili sasa mambo yangu hayaendi jinsi inavyopaswa mpaka inanipelekea kuhisi kwamba inawezekana kuna kitu hakipo sawa. Mwaka...
11 Reactions
87 Replies
4K Views
Wapendwa merry Christmas, Jamani mimi naombeni ushauri maana Kuna jambo limenishinda kulifanyia maamuzi. Mimi nimeolewa na nina watoto wawili, tumeishi na mume wangu kwa miaka kadhaa, Mme wangu...
5 Reactions
75 Replies
5K Views
Back
Top Bottom