Tupeane Location za bata kwa Dar

Scolari

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
1,694
2,294
Naomba tupeane location za bata kwa dar
Cha msingi kuwe na kila kitu namaanisha kuwe na kila bata
Popote tutakula bata

Mods kwanini mnafuta uzi kama hapa ni sehemu ya "where we dare to talk openly"? Au sababu ya kuulizia watu wanaosoma? Haya sijawaulizia kwenye huu uzi naomba msiutoe ili na mimi ni experience ile "where we dare to talk openly"
 
Samaki Samaki (Masaki)

Wavuvi Kempu

Havoc

Tipsy (Kidimbwi)

Maison

Rhapsody

Ukimaliza hivyo sema nikuongezee vingine
 
Naomba tupeane location za bata kwa dar
Cha msingi kuwe na kila kitu namaanisha kuwe na kila bata
Popote tutakula bata

Mods kwanini mnafuta uzi kama hapa ni sehemu ya "where we dare to talk openly"? Au sababu ya kuulizia watu wanaosoma? Haya sijawaulizia kwenye huu uzi naomba msiutoe ili na mimi ni experience ile "where we dare to talk openly"
kwa mwamposa buza
 
Shuka Manzese Tip top, halafu mwambie boda akulete hapa Uwanja wa Fisi uje ule maisha.
 
Napenda bata napenda kazi napenda kuisaka pesa na nikiwa nakula bata nakula bata hadi najielewa.

Uzi mzuri nipo ntasoma kila comment
 
Naomba tupeane location za bata kwa dar
Cha msingi kuwe na kila kitu namaanisha kuwe na kila bata
Popote tutakula bata

Mods kwanini mnafuta uzi kama hapa ni sehemu ya "where we dare to talk openly"? Au sababu ya kuulizia watu wanaosoma? Haya sijawaulizia kwenye huu uzi naomba msiutoe ili na mimi ni experience ile "where we dare to talk openly"
KituoniTz, XII XLV, Warehouse, The Nooks, Trijor Pub, Olive, 255, Dream Lounge, Kwa Morris, v ways, governors
 
Kula vizuri na kunywa vizuri.

Ila kuwa makini na ngono zembe.
 
Back
Top Bottom