Wanaume kwa Single Mothers

Armani William

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
248
734
Wanaume,

-Mwenye kisima hakai foleni kusubiri kuteka maji.

-Epuka kuchumbiana au kulala na mama mwenye mtoto wa mwanaume mwingine.

-Kutoelewana kwao ni kwa muda.

MAANDIKO YANASEMA HIVI;

Proverbs 5:3-14

3 The lips of another man's wife may be as sweet as honey and her kisses as smooth as olive oil,

4 but when it is all over, she leaves you nothing but bitterness and pain.

5 She will take you down to the world of the dead; the road she walks is the road to death.

MITHALI 5:3-14
3 Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta;

4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili.

5 Miguu yake inatelemkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu;

6 Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.

7 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Wala msiache maneno ya kinywa changu.

8 Itenge njia yako mbali naye, Wala usiukaribie mlango wa nyumba yake.

MUWE NA WIKIENDI YENYE FANAKA NJEMA
 
Shukran sana tumeelewa mkuuu 👍
 
Wew unapenda sana kuwakandia single mama ...mbona kitaa wengi wameolewa.
Ngoja niwalete single mother leo.
Sisi wanaume ndotunasababisha single mother afu bado tunawakandia sana ,embu tuwaachen.
Wew utakuwa umetelekeza single mothers huko.afu wanaume wafupi ni shida hawajiamin kabisa wanaishia kutelekeza
 
Back
Top Bottom