Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,629
- 40,865
Closed
Mojawapo isitumike ovyo ovyo kwa kila mpita njiaTupe na mbinu za kujitunza vema tafadhali
Na lishe ni muhimu piaUnatunzwa vipi ?
Mojawapo isitumike ovyo ovyo kwa kila mpita njia
Na lishe ni muhimu pia
Mimi naona ni lishe bora coz kuna mzee huku anakula madawa pori kama yote moto wake kwenye kazi za hapa na pale kama kijanaMke akiwa 30+ mume 50+ inakuwejee hio mix ya maji moto na baridi😜
Mhh umejuaje yupo km kijana kulee😱Mimi naona ni lishe bora coz kuna mzee huku anakula madawa pori kama yote moto wake kwenye kazi za hapa na pale kama kijana
Kazi za hapa na pale,vijana wa 21+ hawamwoni ndani.Mhh umejuaje yupo km kijana kulee😱
rudia kusoma mbona haraka hivyo mpenzi...Mhh umejuaje yupo km kijana kulee😱
Kilichofuatwa hapo ni pesa tuMke akiwa 30+ mume 50+ inakuwejee hio mix ya maji moto na baridi😜
Couples za 30 by 50 mbona zipo nyingi tu!Kilichofuatwa hapo ni pesa tu
Huwa inatesa sana mkuuumeongea point kubwa sana mkuu bt waliodhurika na kutotunza ndo watakuelewa, mi nimeshuhudia kwa ndugu yangu mwenye 40+ daily analalama hajiwezi tena ajil ya kua mla k sana huko nyuma na ugomvi na mkewe daily hauishi...
imefikia hatua mwanaume hana tena usemi kwa mkewe, mke ndo mwenye mamlaka yote ya familia na mwanaume anavumilia coz anajijua alivyo.
Atakuwepo wa pembeni wa kupooza injini pale inapopata motoCouples za 30 by 50 mbona zipo nyingi tu!