Kama ulizaa na mwanaume mwingine kabla kwanini umpeleke kwenye Ndoa mpya? Inatosha tu kumjulisha mume mpya kuwa ulishawahi kuzaa kabla tena umfahamishe kipindi cha Urafiki au Uchumba.
Unaongeza...
Watu wameoana harusi kubwa sana mashallah halafu harusi kwisha wamerudi kupanga eh Tena,?? Hivi kwanini mnaoana halafu mnaishi nyumba ya kupanga na unafamilia? Inatisha
Habari wandugu!
Kwa heshima kubwa naomba kutoa mrejesho wa mada yangu niliyoibandika jukwaa hili la kuhitaji Mwanamke wa kuanza nae Mahusiano mapya, kiukweli wengi walikuja in box karibia...
Namuhitaji mke ambaye Yupo tayari kwa ndoa na siyo utani. Kama Yupo aje PM. Vigezo:
1. Umri usizidi miaka 30
2. Mkristo
3. Awe anapenda ujasiriamali
4. Mweusi na Mnene
5. Asiwe amesomea kozi...
Hi wanajukwaa
Nimekuja mji x kikazi,nimefika kwenye saa 12 jion,nikabook hotel,nikaoga na kupumzika kidogo.
Mida ya saa 2 usiku wadau wakanipitia room kwangu,tukatoka kupata chakula,then vile ni...
SHORT STORY:
JANA NIMETOKA CHUO NIKAPANDA DALADALA ASEEE NIMEKUTANA NA HIYO PISI INA BONGE LA JAWLINE 😋😋 DUHH MAPUMBU YALICHEZA CHEZA ASEE NILITAMANI NIMPE LOVE BITE ILA NDO HIVYO UDOMO ZEGE...
NIFANYE NINI?
Ninashawishika sana kuanza tena kununua malaya-Dua zenu wadau
Imekua kitambo kidogo tangu nilete hapa uzi wa kuacha kununua malaya ila cha ajabu nimeanza kua tempted
Sio kwamba...
Mwanaume hanaga chaguo.
Ila mwanamke ndo anachaguo.
Mwanaume ni wa mwanamke yeyote ila mwanamke sio wa wanaume wote.
Katika vitabu vya Dini vinasema.
1 wakoritho 11:9
Wala mwanaume hakuumbwa...
Huko tweeter Kuna meme imeenda sana viral ambayo inaonyesha wanaume wamejipanga mstari wa foleni wakiwa uchi na mmoja kati yao amevaa nguo huku kashika maua wakipata huduma ya mapenzi kwa...
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sijapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nini Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie simu...
Juzi nlikuwa na demu mmoja tumetoka wote job tukapitia kula sehemu na kunywa kidogo. Of course ni demu ambaye huwa tuna chezeana chezeana. Hatuna mapenzi ya kudumu ila tukihitajiana tunakutana...
Ebwanaeeeeeeee, za leooo.
Moja Kwa moja kwenye mada.... Hivi nyie wanawake mkoje.... Hasa mnaoshinda nyumbani wakati sisi tupo kutafuta na kuvuja majaisho huko mtaani.
Iko hivi... Mimi huwa...
Ni katika hali ya story za kuhusu masuala yanayohusu mazingira tunayoishi, Hapa namaanisha kuhusu usafi na mengineyo na Mimi ni single boy hivyo sina wa kusimamia masuala hayo zaidi ya mimi...
Watu wawili wanaopendana na kuishi kila mmoja kivyake ni tofauti sana na watu wanaopendana na kuishi nyumba moja.
Wapo ambao hujiuliza inakuwaje wapenzi wawili waliokuwa wanapendana na kuwa na...
Huwaga najiuliza sana, lets say wazazi wawili walitengana, sasa imefika kipindi mtoto yupo na miaka mitatu hivi analilia baba kila siku, baba akatoa sharti kwa kusema au kimafumbo kwamba ili...
Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na...
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu nimepokea taarifa ya "Nahisi ni mimba."
Ujuwe nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa kama hii, lakini leo nahisi kichwa kimewaka moto...