Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,819
- 40,602
Kwanini akuchague wewe kuwa mama watoto wake na si mwingine, Yaani umshawishi kwanini akuchague wewe utakuwa na jibu gani?
🙌😂😂Huna sababu.Namjibu kama hataki akwendre
Maswali mengi kwani ye ni polisi?
Hv tangu tuachane ushapata mwingine?Ye kama ye hajaona me nafaa mpaka nimshawishi kwa siasa sitaki
😅😅😅😅shindwa pepoHv tangu tuachane ushapata mwingine?
Sasa hv unaniona me pepo??😅😅😅😅shindwa pepo
Muoe tu kama unaona anakufaa🙌😂😂Huna sababu.
Ni swali nimemuuliza mtu baada ya kusema nimuoe. Hv sasa kanuna.
😁😁😁Eleza sera umshawishi kijana aliekataa ndoa ashawishike kukuweka ndaniyani tunakua tumeanzia wapi mpaka tuishie kwenye swali kama hilo
kama hataki hataki,,,utamshawishiii weee kumbe mwenzio anakuona the cheapest one😁😁😁Eleza sera umshawishi kijana aliekataa ndoa ashawishike kukuweka ndani
Umeniuliza "hv utanioa?"yani tunakua tumeanzia wapi mpaka tuishie kwenye swali kama hilo
mbona hakuna ubaya, au wewe una mpango nae upi😊🤗Umeniuliza hv utanioa?
Sio ubaya. Ila unipe sababu za kuwa wewe na si mwingine.mbona hakuna ubaya, au wewe una mpango nae upi😊🤗
kumbe unao wengi,,,hapo wewe na serikali yako ya kichwa ndo muamue usimchoshe mdada wa watuSio ubaya. Ila unipe sababu za kuwa wewe na si mwingine.
Sio hvo! Sema nae inategemea umeulizwa mkiwa ktk mazingira gnkama hataki hataki,,,utamshawishiii weee kumbe mwenzio anakuona the cheapest one
Hawa ndio wanawake wakuoa 🤣🤣🤣🤣🤣 aise kataa ndoa mna pointYe kama ye hajaona me nafaa mpaka nimshawishi kwa siasa sitaki