Mrejesho wa Mahusiano Mapya

Mrejesho wa Mahusiano Mapya

mfuga kuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
851
Reaction score
667
Habari wandugu!

Kwa heshima kubwa naomba kutoa mrejesho wa mada yangu niliyoibandika jukwaa hili la kuhitaji Mwanamke wa kuanza nae Mahusiano mapya, kiukweli wengi walikuja in box karibia wanawake 18.

Lakini kama mjuavyo lazima apatikane mmoja na nimebahatika kupata Mwanamke ambae Mungu akijaalia atakuwa mke wangu rasmi wa Ndoa wala sihitaji kumchezea! niliyempata tayari mahusiano yake ya Awali alibahatika kuwa na watoto watatu.

Ana umri wa miaka 48, Kwa hiyo wale waliokosa nafasi hii msikate Tamaa wanaume sisi bado tupo! na tuko seriously na mahusiano ili kuleta utulivu na Amani ya Moyo.

Ahsanteni wote.
 
Sisi kamati ya roho mbaya tumekaa palee

278919118_1093603897885924_6157812142717961832_n.jpg
 
Habari wandugu!

Kwa heshima kubwa naomba kutoa mrejesho wa mada yangu niliyoibandika jukwaa hili la kuhitaji Mwanamke wa kuanza nae Mahusiano mapya, kiukweli wengi walikuja in box karibia wanawake 18.

Lakini kama mjuavyo lazima apatikane mmoja na nimebahatika kupata Mwanamke ambae Mungu akijaalia atakuwa mke wangu rasmi wa Ndoa wala sihitaji kumchezea! niliyempata tayari mahusiano yake ya Awali alibahatika kuwa na watoto watatu.

Ana umri wa miaka 48, Kwa hiyo wale waliokosa nafasi hii msikate Tamaa wanaume sisi bado tupo! na tuko seriously na mahusiano ili kuleta utulivu na Amani ya Moyo.

Ahsanteni wote.

Kumbe hivi vikao vya wanaume mnakujaga tu hamuelewagi, wazee, "one soldier down"
 
Attachments

  • IMG-20170803-WA0071.jpg
    IMG-20170803-WA0071.jpg
    84.5 KB · Views: 2
48y = menopause

2 kids

Kila la heri mkuu.

Sisi ni washika pembe tu
 
Nami nimeridhika nae kabisa! ni wife material, unaweza kupata cha miaka 28 au 30 lkn ikawa stress tupu.
Ukapimwe akili wewe, sidhani kama utapata mtoto hapo, kwanza utakuta kashaishiwa utamu wote.
 
Kupata mtoto itakua si kipaumbele cha mtoa mada mana tayari ana watoto kwa mke wake mkubwa
 
Back
Top Bottom