Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake wanadharau sana. Eti ananiambia kisa mimi mfupi gharama yake ili angalau anifikirie fikirie nimnunulie bia 6! Dah, nilishangaa sana! Kununulia bia sio tatizo, ila hiyo sababu aliyoitaja...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni rafiki yangu anakiri laivlaiv.Kwake Anadai utamu wa papuchi hajui ni upi ndiyo maana anachelewa hata kumwaga. Anadai kuwa anaweza kwenda hata Lisaa BIla kumwaga sababu hasikii chochote zaidi...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
1. Mwanamke mpumbavu. Huyu huwafundisha watoto wake kutomheshimu (wamdharau) baba yao. 2. Mwanamke mwenye hekima. Huyu huwafundisha watoto wake jinsi ya kumheshimu baba yao. Je wewe ni mwanamke...
10 Reactions
76 Replies
4K Views
Jioni ni njema kwangu. Natumai hata kwenu ni njema. Ila kwa mabinti wenye umri wa miaka kuanzia 25+, jioni hii si ya furaha kwenu. Najua mnayopitia wanangu! Kwa kujua huko, nimetafakari na kuamua...
18 Reactions
87 Replies
6K Views
Hali watu wazima! Mimi nimeoa huko. Na mbaya zaidi nimeoa Machame, na tunazeeka pamoja tukiwa na watoto na wajukuu kadhaa. Kifupi wanaume acheni udhaifu, mwanamke anakushindaje? Kuwa na misimamo...
12 Reactions
61 Replies
3K Views
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga...
81 Reactions
473 Replies
21K Views
Tukiachana na mapenzi (ngono), mwanaume anaweza kuishi bila kumtegemea mwanamke. Mwanaume anaweza kuishi kwa kujitegemea kuanzia level 0 (hana ajira, hana mtaji, hategemei mtu) na akasurvive...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Goodmorning good people....... Hopin y'all are really fine.....am just great... Now BACK TO THE MAIN ISSUE Leo for some reasons but nimeamka nawaza hii kitu...... Dhana ya kuwa HOUSEWIFE NA...
7 Reactions
226 Replies
19K Views
Habarini wana jamvi MMU, natumai mko poa kabisa. Hivi in kauli gani chafu na kejeli unayoikumbuka kutoka kwa Ex wako kiasi kwamba ukiifikiria unajisemea mwenyewe kimoyomoyo "hii ng'ombe ikirudi...
6 Reactions
141 Replies
19K Views
Wakuu, Kichwa kinajieleza. Wamakonde wanasika kwa haya mambo, sasa namtafutia manzi wangu kungwi wa uhakika aongeze ujuzi. Mambo ya jando na unyago yapo kwenye makabila machache sana ikiwepo...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Nimekaa nikakumbuka wakati nikiwa chuo Kuna mdada nilitokea kumuelewa Sana. Picha linaaza hivi huyu mdada tulisoma wote advance but wakati tukiwa advance sikumconsider sana means tulikuwa...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wakuu Sina mengi ya kusema nilikuwa nahitaji marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo. Umri wangu ni miaka 21 soon I'll be making 22, elimu yangu kidato cha sita, kazi nimeajiriwa...
15 Reactions
278 Replies
13K Views
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea...
40 Reactions
338 Replies
12K Views
Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi. Kazi yangu ni mjasiriamali. Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe...
22 Reactions
195 Replies
10K Views
Kuna Mwanamke anatafutwa, tunaomba utusaidie kutuonesha alipojificha. Kama mnavyojua, safari ya kumtafuta mwenza wa maisha ina njia nyingi, na hakuna njia maalumu ndio maana nchi zilizoendelea...
12 Reactions
51 Replies
9K Views
Mzee wangu ni moja ya wale wazee ambao ni "typical mkurya" So katika jamii yetu huku wengi unakuta kijana anaolea nyumbani then baadae ndio anatoka kwenda kujitegemea. So, kipindi hicho mimi...
19 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…