Mwanamke anawezaje kukabiliana na changamoto za maisha mtaani bila kumtegemea mwanaume?

Ben-adam

JF-Expert Member
Jun 2, 2023
768
1,684
Tukiachana na mapenzi (ngono), mwanaume anaweza kuishi bila kumtegemea mwanamke.

Mwanaume anaweza kuishi kwa kujitegemea kuanzia level 0 (hana ajira, hana mtaji, hategemei mtu) na akasurvive. (atapata hela ya kulipa kodi, kula, kuvaa na kuhonga sometimes)

Je, kama ilivyo kwa mwanaume, mwanamke bila kupiga mizinga na kutegemea mwanaume, anaweza kuishi mtaani na akatoboa?

Kuna kitu nataka kujifunza kupitia maoni yenu, karibuni.
 
Tittle: ....... ..... bila kumtegemea "mwanaume"

Siwapingi & naungana nanyi mnaosema mwanamke kumtegemea mwanamke ni nature coz imeandikwa mwanamke ni kwaajiri ya mwanaume

Nimepata wazo hili kutokana na maisha halisi, na nilitaka kuona mitazamo ya wadau kuhusu hili: nimeangalia jinsi ambavyo wanawake wengi wamekuwa tegemezi kwa wanaume, (sio wote) kiasi kwamba wao hawawezi bila wanaume, Najua unajua hali ilivyo!!
Uzuri wao wenyewe wanasema "wanaweza wakiwezeshwa"

Clepatina nimesoma comments zako, ninachokijua ni kwamba: mwanamke ni mtu anaetarajia kupendelewa sana, na hiki ndicho ulitaka kusema japo hujafunguka.

Ninachokiamini: mwanamke sio sawa na mwanaume

Cc. Clepatina, Mshamba hachekwi
 
Tittle: mwanamke anawezaje kakabiliana na changamoto za maisha mtaani bila kumtegemea "mwanaume"
A very very good topic.

Ni kweli mkuu tunawategemea wanaume kwa asilimia nyingi sana hiyo haina ubishi ila naomba unipe mfano wa vile mwanaume anavyoweza pata kodi,hongo,msosi n.k bila ya kazi,biashara,kuiba au kuwa kibenten.

Niko tayari kujifunza.
Asante🙏
 
A very very good topic.

Ni kweli mkuu tunawategemea wanaume kwa asilimia nyingi sana hiyo haina ubishi ila naomba unipe mfano wa vile mwanaume anavyoweza pata kodi,hongo,msosi n.k bila ya kazi,biashara,kuiba au kuwa kibenten.

Niko tayari kujifunza.
Asante
hakuna niliposema neno "kazi" nimesema "ajira" & "biashara" Half american
Dream Queen
Yaani hujaajiriwa/kujiajir (jobless)
 
Mwanaume anaweza kuishi kwa kujitegemea kuanzia level 0 (hana ajira, hana mtaji, hategemei mtu) na akasurvive. (atapata hela ya kulipa kodi, kula, kuvaa na kuhonga sometimes)

Hebu anza kutueleza huyo Mwanaume wa ajabu ambaye hana ajira, hana biashara, hategemei mtu lakini anapata pesa ya Malazi, Mavazi, Chakula na kuhonga juu.
 
Mwanaume ANAWEZAJE kuishi kwa kujitegemea kuanzia level 0 (hana ajira, hana mtaji, hategemei mtu) na akasurvive.??????

(atapata hela ya kulipa kodi, kula, kuvaa na kuhonga sometimes)
ATAPATAJE HELA ikiwa hana anachofanya???


Labda urekebishe andiko lako kidogo tu ila mm naona mtaji wa maskin n nguvu zake mwenyewe ,mwanaume atatumia nguvu km mtaji na mwanamke huvyohivyo atatumia nguvu alizonazo kufanya kazi zilizo ndani ya uwezo wake
.
 
Mwanamke kumtegemea Mwanaume ni Nature.
Ndio maana mwanamke anaweza kuwa na kazi but still atahudumiwa na mwanaume.
Hata kwa kumpiga vizinga.

Kujibu swali lako,
Hicho kitu kitawezekana kama huyo mwanamke anafanya kazi, au anatunzwa na wazazi au ni prostitute.
 
Nazani mada hii inalenga kupingana na nature. Mungu alivyoiumba hii duni jinsia KE haipaswi kuwa hard fighter. Yaani ke ni maua typical, nikiwaga mtaani nikikutana na jinsia KE namuona kama chakula kitamu. SEMA tu pesa hakuna , ningekua nazo ningeanzisha KE supporting revolving Fund. Acha wapewe supports from every Conner. That's my point of view
 
Back
Top Bottom