Unakumbuka kauli gani (kejeli) ya Ex wako baada ya kuachana?

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
367
679
Habarini wana jamvi MMU, natumai mko poa kabisa.

Hivi in kauli gani chafu na kejeli unayoikumbuka kutoka kwa Ex wako kiasi kwamba ukiifikiria unajisemea mwenyewe kimoyomoyo "hii ng'ombe ikirudi nitahakikisha inapitia maumivu yasiyo ya Dunia hii.

NB: Kuachana siyo ugomvi ila wengine wanatufanya tuonekane wabaya tu
 
Why mnawapa ma ex nafasi vichwani mwenu?
Hamjui maana ya kuachana?

Mkishaana hutakiwi hata kujiuliza sijui ex alisema nini achilia mbali kuanzisha thread kumjadili ex..

Mkiachwa achikeni..
Jamani...Mimi naona nshadelete memory ya EX. Sina zuri wala baya la kuwakumbuka. Nawashangaa wanaowaendekeza.

Nikiona jina la ex kwa simu au mtandaoni naMBLOCK haraka Sana..

Ujinga siendekezi
 
Jamani...Mimi naona nshadelet memory ya EX.sina zuri wala baya lakuwakumbuka ..nawashangaa wanao waendekeza.

Nikiona jina la ex kwa simu au mtandaoni naMBLOCK haraka Sana..

Ujinga siendekezi
Wanaokumbuka bado wanaishi akilini mwao na ukiona hivyo ujue upendo bado upo.
 
Daaaa nilimjengea nyumba,nkamfungulia saloon ya kike lkn mpk leo siamini siku moja saaa nne usiku nkiwa zangu lindi kikazi sms ikaingia imeandikwa"kuanzia leo unikome na sikutaki tena" daaaa ckuwa na namna mida hiyohyo nlifuta namba yake na kumbkumb zake zote mpk leo cjui anaendeleaje maana ckumjibu Wala kumfuatilia tatz lilikuwa nn
 
Na nyumba ikawaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom