Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikuwa naongea na bwashee mmoja WhatsApp baada ya kuletewa Uzi na shogangu WA Yule binti alieng'atwa na mbwa😂😂 Nikamwuliza bwashee kwanini wanaume wengi sikuhizi hampendi kuzama chumvini...
19 Reactions
868 Replies
101K Views
Nauliza tu kama swali.Mtu amebalehe hajui mapenzi au amevunja ungo hajui mapenzi lakini ana hisia za kutaka kuwa karibu na jinsia tofauti. Ni kitu gani kinamfanya mpaka awe katika mahusiano...
2 Reactions
0 Replies
994 Views
Wajumbe wenzangu ni vipi, mimi swalamaa kabisa. Nikasema tupeane chakula cha ubongo kidogo si unajua tena mambo mengi muda mchache. Du leo nikasema hebu tushauriane kidogo mana haya mambo yapo...
0 Reactions
64 Replies
4K Views
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔 Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi 😤🙌
28 Reactions
251 Replies
14K Views
Jana nilikuwa airport napata huduma, katika kusubiria huduma kukawa na malumbano Kati ya binti mmoja na Mzee mmoja Mzee: akawa anamtania Huyo binti kuwa amuoe wawe wapenzi, atampatia Mapenzi ya...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Happy Saturday to you All.. Friday night moja buanaaa nimekaa na my girls gurls GIRL, happy time, friday night Tunaenjoy groove night na nini tunajikumbushia miziki ya kikwetu kwetu old school...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari .. Hawa wanawake sijui wapoje, unakuta kijana wa watu ume mpenda bidada kwa moyo mmoja na unania njema ya kumuweka ndani ila utata unakuja pale anapo kuuliza unafanya kazi gani...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema...
12 Reactions
61 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka...
1 Reactions
144 Replies
12K Views
Habari ndugu zangu, Wanawake wote mnaojielewa popote mlipo haijalishi mnatupasua kichwa sana, ila mbarikiwe sana. Uwepo wenu ni mkubwa sana na nyie ni viumbe wa muhimu sana katika kuipamba dunia...
2 Reactions
8 Replies
955 Views
Kwa muda Sasa toka nihamie kufanya kazi katika bank Moja hapa Kariakoo. Katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja akanialika kwenye party ya vikoba ili niwashauri namna ya kuweka pesa na...
14 Reactions
60 Replies
8K Views
Aisee nimeshangaa sana baada ya jamaa zangu wa karibu wakilalama wapenzi wao ifikapo tu tarehe 21 ya mwezi huanza kulalama nywele zao zimefumka na kuchakaa na luku kwao imekata ghafla nikajiuliza...
3 Reactions
13 Replies
973 Views
Mwanamke mmoja aje PM anielekeze kupika tambi.[emoji26 Out there wakuu, Jobless mwenzangu wakiume, mbususu chakata ila usipende. Jobless wa kiume sikiliza, mwanamke ukimtamani au kumpenda kula...
65 Reactions
246 Replies
15K Views
Nashauri serikali iweze kuanzisha somo la Ndoa kwa kila mmoja anaekaribia kuingia humo. Hakika wengi wetu tunaingia katika ndoa bila kujua bila kuelewa ndoa nakujikuta tunazama kupitia Mihemko...
1 Reactions
10 Replies
742 Views
Nilikutana na manzi mmoja wa chuo hospitalini. Mtoto fulani hivi mweupe mwenye kashepu kakuvutia. Sikupoteza muda nikawa nimeshaanzisha mashambulizi. Nikafanyikiwa kuchukua namba. Siku zikapita...
8 Reactions
62 Replies
7K Views
Kila unakopita, watoto lainii na wazuriiii wanaongezeka kila siku na wanazidiana tu katika kuiachia misambwanda yao ikitetema.....ajabu kila mwanamke analo sambandwa la haja siku hizi. Nina...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Nawapa tahadhari na kuwakumbusha Wanaume dhaifu kama wa Dar,usije kurogwa kuoa Mke Mikoa ya Kusini,utakuwa Kila Mwezi unalalamika dawati la jinsia. Ama laa hakikisha karate uko vizuri vinginevyo...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja. Mimi ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania jijini Dar es Salaam, nachukua shahada ya...
20 Reactions
145 Replies
10K Views
Habari wana jamvi.. Hivi mwanaume unawezaje kuishi na mkeo ili hali anachelewa kutoka kazini, Unakuta wewe mwanaume kazi unayo fanya unatoka saa 11 jioni ila yeye kazini anatoka saa mbili usiku...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Hii ni dhana potofu na ni tatizo. Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi...
18 Reactions
99 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…