Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,617
- 17,057
Happy Saturday to you All..
Friday night moja buanaaa nimekaa na my girls gurls GIRL, happy time, friday night
Tunaenjoy groove night na nini tunajikumbushia miziki ya kikwetu kwetu old school amaizing
Mara akaja kaka m1, akaja moja kwa moja kwangu, akaniambia;
Kaka: hey you
Money Penny: Hi
Kaka: naomba nicheze na wewe, maana katika wadada wote hapa mimi nimekuona wewe tu,
Mashosti: aaaaah embu kwenda zakoo
Kaka wa watu haogopi wala nini, kaning'ang'ania mpaka nikaenda kudance nae
Tukiwa tunaelekea kwenye dance floor akasema she's my moonlight lady, hata sijali mtakachosema
Mashosti wakawa wanacheka tu
Swali langu ni kwamba: wapo wapi tena hawa wanaume wenye ujasiri wa namna hii?! Sikuhizi mwanaume akikuta wadada wamekaa 6 hajii, hata waiter hamtumiii, kwani wanaume skuhizi wamekuwaje jamaa?!
Wako wapi Agressive Man sikuhizi?! Wanaume Majasiri wa kujitoa ufahamu wakifukuzia wanachokitaka?! Skuhizi wanakaaa tu wanasubiri wadada waje, kiru!
Ingawa yule kaka (bwashee) hakunioa lakini nilimpenda bure kwa kuthubutu!
Me mwanaume anaejitoaga ufahamu nampenda bure tu
Am just saying!