Kuna umuhimu gani wa kuwa na girlfriend au boyfriend ikiwa haupo tayari kuolewa au kuoa

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,030
Nauliza tu kama swali.Mtu amebalehe hajui mapenzi au amevunja ungo hajui mapenzi lakini ana hisia za kutaka kuwa karibu na jinsia tofauti.

Ni kitu gani kinamfanya mpaka awe katika mahusiano yasiyo na faida maana hakuna sehemu wanapofundisha mapenzi na kama mtu amekuwa katika familia ya kidini basi hajui hata ladha ya kunjunjana na hajui kunjunjana ni nini, anawachukulia wanawake au wanaume kama watu wa kawaida.

Na kama mtu hajajua kunjunjana basi huyo ni bikra.Ni nini kinamfanya aone umuhimu wa kuwa na girlfriend au boyfriend maana maisha yake yote amelelewa kidini hajui mapenzi ya kitandani ni nini?
 
Back
Top Bottom