Bora huyo wa week mimi masaa 17 tu usipokubali natupa hukoWanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔 Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi 😤🙌
Wanawake ni tofauti na wanaume jamani sisi tunatoa penzi kwa mtu ambae tuna mfeelBora huyo wa week mimi masaa 17 tu usipokubali natupa huko
Natafuta mwingine. Ma Feminist wamejazana kila kona kwann ni attach my strings to you
🚶🚶🚶🚶😲😲
Yaani hawa wanaume wanatufanya tuwaogope for real, mtu Hata hamjaanza kupendana vizuri analeta nada zake😤💔Pole kwa kukutana na Magume gume
Mnatuchanganya💔Hata ukimpea siku hiyohiyo au mwakani kama si mwoaji si mwoaji tu....ukiwa horny usijivunge.😘
Najua hilo sijakataaa kabisaWanawake ni tofauti na wanaume jamani sisi tunatoa penzi kwa mtu ambae tuna mfeel
sii tumekubaliana wanaume waombe mbusus wanawake waombe hela. hakuna kupotezeana muda bwana.Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔 Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi 😤🙌
wacha urongo na wewe bwana.Wanawake ni tofauti na wanaume jamani sisi tunatoa penzi kwa mtu ambae tuna mfeel
This is the game of timing. Ulichokisema ni sawa kabisa and the vice-versa is true. Hata wanawake imagine mmekutana hata wiki haijaisha anaanza kukuomba hela. Boys kuweni makini.Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi
Na malaya jeWanawake ni tofauti na wanaume jamani sisi tunatoa penzi kwa mtu ambae tuna mfeel
Hapana Mkuu, wanawake tunatofautiana kuna wale ambao mpaka wakuzoee ndio wanaomba haswa wakiwa na shida na sio mara kwa mara.Nyie mbona nusu saa nyingi mshaanza vizinga
Wanataka kuonja angali mboga bado kuiva 😅Yaani hawa wanaume wanatufanya tuwaogope for real, mtu Hata hamjaanza kupendana vizuri analeta nada zake😤💔
Damn! Unakuta mtu analeta yale mambo ya awwww una kashape kazuri, Eti nimekuota leo (wet dreams)😤💔 na hamjazoeanaNajua hilo sijakataaa kabisa
Lakini hit and run tunafanya kwa tamaa zetu wenyewe
Also nikipata ashki natongoza hata mademu 8 kwa siku lzm mmoja aingie kingi namla siku hiyo hiyo nasepa
Mind you wake za watu ndo mserereko 🏄🏄🏄🏄🏄🏄🏄🏄🏄 kama baharini vile 😁😁😁😁😁
Mhhh💔Bora huyo anakula la kuondoka hana usumbufu ndan ya wiki. Mimi najifanya nakutaka na nakulaa mwaka alafu naondoka zangu