Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kuna demu mmoja huwa namtumia kwa ajili ya kujiridhisha coz nina mke yuko mbali na mkoa ninaoishi sasa leo genye zimenishika haswa nikaona nimtafute akaniambia njoo lkn simuamin bc kufika tu...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimewahi kuweka tangazo humu miaka minne iliyopitaa la kutafuta mke ila kabla ya kufanya maamuzi nilipata mtu ambae tulikuwa na mahusiano zamani kidogo. Malengo yalikua ndoa Ila tabia zake...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu, Natumia nyote mnaendelea vizuri kabisa Kama nilivo andika katika kichwa Cha habari kuwa natafuta Mke Wa kuoa aliye siriasi na ambaye yuko tayari kuanza mahusiano ya ndoa...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
  • Closed
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile. Wasifu wangu. Nina mtoto mmoja Umri 35 Kazi ni mwajiliwa serikalini Mzaliwa nyanda za juu kusini...
11 Reactions
68 Replies
7K Views
Upande wangu Mwanaume Umri 30 Dini muislamu Nimeajiriwa Mwenza: Awe na umri kati ya 23 hadi 30 Awe muislam Awepo Dar es salaam Kuwa na watoto au kutokuwa nae tutajadiliana.
3 Reactions
2 Replies
944 Views
Mhhhhhhhh
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Assalam alleykum warahmatullah wabarakatuh za muda huu ndugu zangu katika Imaan Naam mimi ni kijana wa miaka 27 inshaalah mwezi ujao naongeza umri pia ninaishi Daresalam, Tanzania nilikua...
1 Reactions
1 Replies
533 Views
Mimi ni kijana wa 28 black elimu diploma nimejiajiri dini Muslim Kama dini inavyo sema kuwa ndoa ni utimilifu wa dini nami sinabudi kutafuta mke Sifa za mke ninae muitaji awe Muslim miaka...
1 Reactions
3 Replies
709 Views
Natafuta marafiki wawe HIV positive, umri miaka 28- 35, elimu angalau form six ,mm ni msichana mtanzania nimegundua naishi na virusi vya ukimwi, nipo Kilimanjaro, ni mwajiriwa,nilimaliza kidato...
9 Reactions
21 Replies
16K Views
Sina usingizi natafuta marafiki wa kuchat nao Wanaume au wanawake walio single Age 40 to 100 Kwa week hii tu lakini Kama unaitaji ushauri wa maisha,biashara,kiroho,kimahusiano.niko free kusaidia 24/7
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari!, natafuta mke nipo Tanga. taarifa zangu kwa ufupi umri: 26yrs Dini: muislamu elimu: Degree Education(science) mrefu kidogo, maji ya kunde sifa za mke muislamu asizidi miaka 26 elimu...
3 Reactions
6 Replies
879 Views
Stress ni kitu kibaya sana na siku zote hushusha CD4 pindi unapo kuwa na mawazo Mimi nahitaji friends wa kupoteza mawazo mabaya kuchat, kucheka nao na kubadilishana mawazo, but nili zaliwa nayo...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari!, natafuta mke nipo Tanga. taarifa zangu kwa ufupi umri: 26yrs Dini: muislamu elimu: Degree Education(science) mrefu kidogo, maji ya kunde sifa za mke muislamu asizidi miaka 26 elimu...
2 Reactions
0 Replies
993 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji mwenye nia ya dhati ya kuolewa sina vigezo ving ila kwa aliyetayarit uwasiliane inbox au atumie namb +255755772556
1 Reactions
0 Replies
619 Views
Wanawake wa siku hizi wamekuwa maji moto saana Kuna demu tulikuwa naye kwenye mausiiano 2017 mpaka 2019 demu aka niacha solemba kabisa niliumia sana nilibembeleza mtoto wa kike mtoto wa kike aka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za muda. Wasifu wangu. Miaka 27 Mfanyabiashara mdogo. Elimu ni Diploma Dini Mkristo. Makazi yangu ni Kanda ya Ziwa. Nahitaji mwanamke ambaye nitamfanya awe mke wangu. Sifa nazohitaji...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Salaam! Mimi ni kijana wa 44 years Mjasiriamali Niko Arusha Nimekaa kwenye ndoa miaka 16 ila ilikuwa ni ndoa yenye vioja vingi sana Na hatimaye tukaachana rasmi Nina watoto 3 Maisha yangu ni ya...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Mimi nina miaka 34, natafuta mwanamke wa kinyakyusa aliye mnene na mrefu. Umri wowote. Nataka ambaye mbaye yupo tayari kuanza maisha ya kindoa hata kama ana mtoto. Nipo Songea. Namba yangu ni...
4 Reactions
68 Replies
8K Views
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu! -Umri 32 -Dini Mkristo -Elimu Degree -Kazi Mwajiriwa -Sina mtoto Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo Awe- Dini mkristo -Umri 34-45 -Awe anajishughulisha
6 Reactions
18 Replies
2K Views
ule usemi ngombe wa maskini hazai sasa ivi naushuhudia kwa macho yangu,kijana wakiume kupata mke kama maisha yake duni tusahau ilo ,binti anachat ukimwambia financialy haupo vizuri ansepa hahahaaa...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom