Nahitaji marafiki HIV positive

Usijali mpendwa
Na wala usikate tamaa ishi kwa matumaini na utakuwa sawa,jichanganye na watu na usijiwekee akilini kuwa uko katika hali fulani itakupelekea kudhoofika.
 
Stress ni kitu kibaya sana na siku zote hushusha CD4 pindi unapo kuwa na mawazo Mimi nahitaji friends wa kupoteza mawazo mabaya kuchat, kucheka nao na kubadilishana mawazo, but nili zaliwa nayo hii kitu sasa changamoto zimefanya nipoteze baadh ya vitu muhim na kupelekea kuwa na HIGH VIRAL LOAD

zabibuandrew5@gmail.com
Find me
una miaka mingapia up to now
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom