Natafuta mke serious

natafuta mke

New Member
Feb 1, 2022
3
6
Habari!, natafuta mke nipo Tanga.
taarifa zangu kwa ufupi
umri: 26yrs
Dini: muislamu
elimu: Degree Education(science)
mrefu kidogo, maji ya kunde


sifa za mke
muislamu
asizidi miaka 26
elimu iwe form four na kuendelea
asiwe mfupi sana
akitokea Tanga itakuwa vizuri zaidi.

njoo PM
 
Upo tanga Alafu unakuja majukwaa unalia lia unataka mke wewe ni Domo zege nimetilia uanaume wako ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom