Natafuta rafiki wa kike/mchumba pia

Natafuta rafiki wa kike/mchumba pia

platinum jr

New Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Kama kichwa kinavyojieleza
umri wangu ni miaka 23 ,
Nimehitimu chuo
Naishi dar, mkristo
Natafuta rafik wa kike umri 18-23, mwenye hofu ya mungu...awe dar.

Natanguliza shukrani za dhati, katibu pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom