Natafuta mwanamke mtu mzima anayejielewa

Natafuta mwanamke mtu mzima anayejielewa

dogojanja 87

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
882
Reaction score
213
Baada ya kuchoshwa na vijana wenzangu,nimeamua kuja hapa kumtafuta mdada mtu mzima kidogo age 30 and above.Any interested woman tukutane PM.age yangu 28.OVER
 
unaanza kuomba kadi za uanachama za utanipwelepweta bure wakat wasichana wenye akil zao wamezagaa mjin kwel umelogeka kijana mdogo una mawazo ya kizee huko n kufilisika maarifa pole xna kajiloweke wenda una pacha ushafel kwendraaaaa una sela kama babu zako wenye vibendera vya kijan pita vileeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom