Wasalaam wanajamvi,
Kama kichwa Cha habari kisemavyo,nimejitokeza kuiutafuta mwanaume aliye na uhitaji wa mke.Uwe na umri kuanzia miaka 35, mkristo, mkweli na muwazi.
Tafadhali nitumie ujumbe...
Kama ilivyo hapo juu , natafuta chumba ambaye baadaye atakuwa Mke wangu. Mimi ni njasiriamali na miaka 50. Naishi Dar. Nimkristo mwenye hofu ya Mungu.
Mchumba aliyetayari na anayejitambu...
Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni...
Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam.
Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu...
Nimegundua kuwa wanaume wenye sifa zifuatazo huwa na wivu wa kishenzi kwa wake/wapenzi zao
(1), Wenye vibamia au ambao wanahisi kutowaridhisha wapenzi zao wawapo sita kwa sita
(2) Ambao hawatoi...
Habari rafiki, kama kuna mwanaume anaevurugwa au kuteswa na mapenzi naomba usipate stress, njoo tuwe marafiki usilewe kupita kiasi utapata stress utadata buree, njoo rafiki tubadilishane mawazo...
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe anaweza kuongea kiingereza
4: Awe anajua kupika na msafi
5...
Habari,
Naomba niwatake wale wote wanaidhani mimi siyo muoaji au nipo hapa kupiga watu na kitu kizito kwa kulinganisha technical and fundamental analysisi ya trend za nyuzi zangu humu JF...
Nimekuwa nikilitafakari jambo hili kwa muda sasa kuhusu ni nini maana ya kweli linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha. Sio kuhusu uzuri, umri, au mambo ya muda mfupi. Ni kuhusu kujenga kitu...
Habari, jina langu halisi ni Baraka, nina miaka 39.
Kwa sasa, niko katika hali ngumu maishani. Sina makazi wala mali, na bado najitahidi kujenga maisha yangu upya. Hata hivyo, nina imani kwamba...
Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.
Asiwe mdogo sana au mzee...
NIMEYAPEZA MAPENZI
1 Kumbatio la mwandani
Nilalapo mapajani
Niwe juu yeye chini
Nimeyapeza mapenzi
2 Kudeka anidekeze
Siri nizimueleze
Sauti ailegeze
Nimeyapeza mapenzi
3 Kwa ufundi...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29
Naishi Morogoro
Dini mkristo
Kazi ni mwalimu
Mke awe na sifa hizi;
Mrefu kiasi
Awe na kazi sio golikipa
Miaka 20_27
Awe na tabia njema
Ukiwa na sifa hizo...
Mimi ni kijana wa kiislamu nina miaka 35 nahitaji mke pia mimi ni mweusi nafanya kazi serikali .
Mke ninayemuhitaji awe muislamu kazi sio muhimu awe mweupe na asiwe na mtoto miaka isizidi 30 pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.