Natafuta mke anayejitambua

lekinno

Member
Aug 7, 2018
25
27
Habari, husika na kichwa hapo juu, natafuta mke anayejitambua na kujua nini maana ya ndoa, na mwenye heshima kwa mume

- sifa zangu kwa ufupi:-
- Nina miaka 30
-mrefu, mwembamba kiasi, rangi yangu maji ya kundè
-elimu - degree
-kazi - mfanyabiashara
-Kabila - Mchaga
-Makazi-Arusha
-Situmii pombe, sigara, bangi, wala umalaya Sina, sio mtu wa club, sio mpenda mpira Wala mkaaji wa kijiweni/maskani.
-Nina mtoto mmoja ( Mama yake alimtelekeza kwangu)
- Mimi ni mkweli na mwaminifu

- Sifa za mke nayemtaka

-Awe mcha Mungu (mkristo)
-Awe mwaminifu na mwenye upendo wa kweli
-Ampende mwanangu na mimi ntampenda zaidi
-Awe tayari kuja kuishi Arusha
-Awe na Elimu yoyote ila ajue kusoma,kuandika na kuhesabu.
-Awe mrefu wa wastani,maji ya kunde, mnene wa wastani au mwembamba.
-Uwe na kazi usiwe na kazi kwangu sio hoja
-Awe na miaka 20-28
-Sitaki mchunaji

Kama yupo mwanamke aliye serious na maisha ya ndoa anitafute, hivyo ni vigezo tuu ila vinazungumzika na kikubwa ni maelewano ndani ya ndoa.
KWA ALIYE TAYARI TUMA SMS KWENYE NAMBA HII 0782 98 18 94 KARIBUNI SANA
 
We utakua mchaga feki tu. Moja ya kigezo cha kua mchaga ni kupiga gambe tena unaanzia mbege
 
NATOA SHUKRANI ZANGU ZOTE, NIMESHAPATA MKE NA YUPO NDANI TAYARI, KWA WALIOCHELEWA NAOMBA MSIPIGE SIMU MLIOCHELEWA, Asanteni
 
  • Thanks
Reactions: AGH
NATOA SHUKRANI ZANGU ZOTE, NIMESHAPATA MKE NA YUPO NDANI TAYARI, KWA WALIOCHELEWA NAOMBA MSIPIGE SIMU MLIOCHELEWA, Asanteni
Kweli ulikuwa na uhitaji sio kama wengine, kumbe ushaoa kabisa!
 
Habari, husika na kichwa hapo juu, natafuta mke anayejitambua na kujua nini maana ya ndoa, na mwenye heshima kwa mume

- sifa zangu kwa ufupi:-
- Nina miaka 30
-mrefu, mwembamba kiasi, rangi yangu maji ya kundè
-elimu - degree
-kazi - mfanyabiashara
-Kabila - Mchaga
-Makazi-Arusha
-Situmii pombe, sigara, bangi, wala umalaya Sina, sio mtu wa club, sio mpenda mpira Wala mkaaji wa kijiweni/maskani.
-Nina mtoto mmoja ( Mama yake alimtelekeza kwangu)
- Mimi ni mkweli na mwaminifu

- Sifa za mke nayemtaka

-Awe mcha Mungu (mkristo)
-Awe mwaminifu na mwenye upendo wa kweli
-Ampende mwanangu na mimi ntampenda zaidi
-Awe tayari kuja kuishi Arusha
-Awe na Elimu yoyote ila ajue kusoma,kuandika na kuhesabu.
-Awe mrefu wa wastani,maji ya kunde, mnene wa wastani au mwembamba.
-Uwe na kazi usiwe na kazi kwangu sio hoja
-Awe na miaka 20-28
-Sitaki mchunaji

Kama yupo mwanamke aliye serious na maisha ya ndoa anitafute, hivyo ni vigezo tuu ila vinazungumzika na kikubwa ni maelewano ndani ya ndoa.
KWA ALIYE TAYARI TUMA SMS KWENYE NAMBA HII 0782 98 18 94 KARIBUNI SANA
mchunaji huwez kumjua kwa yeye kujieleza ni hadi uwe involved nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom