Natafuta mwenza.

Natafuta mwenza.

BALOTEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
667
Reaction score
894
habari wandugu,nina mwaka wa tatu sasa nipo single lakini nahisi si dhambi kuwa hivi nilivyo,wakati umefika sasa wakumpata mke mwema.najua wapo wadada wazuri tu mbele ya mungu na wanadamu pia.aliye tayari kuanza maisha mapya ya ndoa tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom