Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kenya imeanzisha mpango wa kutumia sumu kuua Kunguru Milioni moja katika Miji ya Watamu na Malindi, ili kuzuia wasisambae Jijini Nairobi Kunguru wamekuwa wakishambulia Wanyamapori, kuvamia maeneo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Prof Kindiki amesema yeye hawezi Kujiuzulu kwa Makosa ya Polisi kuuwa Waandamanaji Kindiki amesema kila askari Polisi atabeba Msalaba wake mwenyewe Kindiki amesema Yeye kama Waziri ni Mwanasiasa...
3 Reactions
5 Replies
601 Views
Hawa vijana wamejitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Kenya Ina wenyewe (Royal families, 1. Kenyatta, 2. Moi(Ruto) na, 3. Odinga) Wewe unatoka Kibera/Mathare unataka kuharibu system ya...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
The screen is back. Touts are out.
8 Reactions
225 Replies
17K Views
Hongera ruto! ======== Gov’t Announces Changes in Passport Application & Collection Gov’t Announces Changes in Passport Application & Collection: The Directorate of Immigration Services on...
9 Reactions
53 Replies
2K Views
PPP ya Kafulila imesifiwa na Rais Ruto wa Kenya akisema ni Uwekezaji wa Win- Win Ruto amesema Aidan ya India watakodishwa Uwanja wa Ndege na Siyo kuuziwa kama inavyovumishwa mitaani Source...
3 Reactions
6 Replies
602 Views
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za...
23 Reactions
268 Replies
25K Views
Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa Wahuni siyo Watu 😂
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Hayo ni maneno ya William Ruto Rais wa Kenya akitishia kujitoa kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Haki za binadamu ya Afrika -Arusha. Chanzo Cha vitisho hivyo vya Ruto ni sakata la Mahakama hiyo...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Baada ya Viongozi wanne wa ODM kuingia kwenye cabinet ya Kenya Kwanza maana yake ODM siyo Chama cha Upinzani tena hivyo kimeondolewa kwenye Umoja wa Azimio Source: Citizen TV Mlale Unono 😀
10 Reactions
11 Replies
990 Views
Kenya's coup conspiracy Monday, May 24, 2004 — updated on June 21, 2020 Mancham, a regular visitor to the Kenya waves Kanu's one-finger salute as he departed from Nairobi in 1972 to the amusement...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna hivi majuzi amejipata kwenye njia panda kuhusu uteuzi wa baadhi ya wanachama katika Baraza la Mawaziri la Rais William Ruto. Ruto alipendekeza mwenyekiti wa...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
India’s Adani Airport Holdings Limited has proposed to invest $1.85 billion (Sh246 billion) to expand Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) under a concession deal that, if accepted, could...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Akizungumza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta, Bw Odinga alimsifu Bi Karua kwa bidii na rekodi yake ya haki za binadamu. "Nilimhitaji Joshua wa kweli kwenye kando yangu, ambaye...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Nafikiri ili ufiti vizuri kwenye siasa za panda shuka ukanda huu wa Afrika Mashariki, inabidi uwe mnafiki na unajitoa ufahamu kweli kweli. "Handshake" ya Raila na Ruto haikutegemewa kabisa...
1 Reactions
4 Replies
704 Views
Mheshimiwa pona yako ili kubaki ikulu ni kuzima Internet kama Tanganyika 2020 ili hao Gen Zero wapotezane huko mtandaoni. Vinginevyo Julai haiishi unaondoka.. Linda cheo chako na washkaji zako...
18 Reactions
81 Replies
4K Views
Wamiliki wa paka jijini Nairobi sasa watalazimika kulipa Sh200 kama ada ya leseni kwa serikali ya kaunti. Hii ni miongoni mwa mapendekezo yaliyomo kwenye Muswada wa Udhibiti na Ustawi wa Wanyama...
8 Reactions
10 Replies
747 Views
Mmojawapo wa mawaziri wa Kenya aitwaye Kipchumba Murkomen ameomba msamaha kutokana na mtindo wake wa maisha ya ufahari aliokuwa akiishi ambao ulikuwa ukiwakwaza Wakenya wengi. Baada tu ya kupata...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Huyu dada ni nani?? Huyu dada anaumashuhuri Gani miongoni mwa Gen Z?? Inakuwaje pichani hapo amevaa nguo kama za kijeshi?? Vipi tetesi zinazoenea kuwa ameuliwa ni za kweli...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kiongozi wa Upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga amekosoa shinikizo la Waandamaji wanaotaka Rais William Ruto ajiuzulu akieleza hatua hiyo haitakuwa na mabadiliko...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom