Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

President William Ruto nominates first batch of CSs- comprising of 11 names, to be vetted by the National Assembly for confirmation Ameteua Mawaziri 11 wapya pekee na Mwanasheria Mkuu mpya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku chache tu baada ya Rais William Ruto kulishtumu Shirika la Ford Foundation kutoka Marekani kwa kile alichokitaja kama 'kufadhili maandamano ya kupinga Serikali yake,' sasa Serikali kupitia...
0 Reactions
2 Replies
534 Views
Kenya ni majirani zetu wa karibu sana lakini yanayoendelea Kenya sio demokrasia kama ambavyo wengi wanadhani lakini hiyo ni politics accident ! Kuna watu wapo nyuma ya mpango wa kuvuruga utulivu...
8 Reactions
42 Replies
11K Views
Jeshi la Polisi limemepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa kufanywa na Gen Z leo katikati ya jiji la Nairobi. Kipeperushi kilichosambazwa na vijana wameonesha kunuia kufanya maandamano makubwa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo...
2 Reactions
61 Replies
2K Views
Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni). Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi? NB: HAPA...
4 Reactions
18 Replies
815 Views
Msemaji wa Serikali ya Kenya, Isaac Mwaura amesema kuwa taifa hilo limepoteza zaidi ya pesa za kenya bilioni 6 (zaidi ya bilioni 123 za Tanzania) kutokana na wimbi la maandamano yaliyoshuhudiwa...
1 Reactions
5 Replies
423 Views
Article 33(1) of the Constitution of Kenya provides that every person has the right to freedom of expression while Article 34(1) guarantees freedom and independence of the media. However, the...
2 Reactions
1 Replies
814 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Japhet Koome amejiuzulu. Rais wa Kenya, William Ruto ameridhia kujiuzulu kwake. ===== NAIROBI, Kenya July 11, 2024 – Kenya’s Police Chief Japheth Koome...
4 Reactions
38 Replies
11K Views
Nimeunda Tume maalumu ya kushughulikia deni la Taifa Ili tubaini mambo matatu 1. Tulikopa kiasi gani cha Fedha na kwa sababu gani 2. Miradi gani iliyotekelezwa kwa Mikopo hiyo na iko katika hali...
1 Reactions
6 Replies
471 Views
vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
3 Reactions
41 Replies
11K Views
Mwandishi wa habari wa Kenya, Catherine Wanjeri Kariuki, anayefanya kazi kwa Mediamax Limited, amepigwa risasi na polisi huko Nakuru wakati akiripoti maandamano yaliyoongozwa na vijana wakitaka...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Collins Jumaisi Khalusha, anayeshukiwa kuua wanawake wapatao 42 na kukata miili yao vipande vipande kabla ya kuitupa katika eneo la machimbo la Kware huko Embakasi Kusini, amekanusha madai hayo...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Africa Mashariki ni lazima tuungane sasa kuisaidia Kenya kwani Wananchi na Viongozi Wote wamechanganyikiwa CCM tuna jukumu la kuisaidia Kenya kwa sababu Sisi ndio Chama kikubwa zaidi barani...
2 Reactions
6 Replies
406 Views
Breaking news Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya Citizen TV ====== Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake...
25 Reactions
101 Replies
18K Views
Mheshimiwa Charlene Ruto anafaa kuongoza Wizara ya vijana au Michezo
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakati Gen Z wanasisitiza kuanguka na Ruto. Ingefaa jeshi lishike hatamu kurejesha Hali ya utulivu na Amani. Baada ya miaka miwili. Ndio urejeshwe utawala wa Kiraia. RIP (Late) General Francis...
0 Reactions
7 Replies
525 Views
Taarifa za sasa zinasema Muuaji wa Watu waliokutwa kwenye viroba huko Kware amepatikana na anahojiwa na Polisi kujua asili yake na sababu za kufanya Mauaji hayo. Source: Citizen TV ==== DCI...
7 Reactions
51 Replies
13K Views
Huyu Rais wa Kenya Dr Ruto kwa hakika ana hofu ya Mungu wa mbinguni Ruto amesema amevunja Kitengo cha Polisi kilichokuwa ni maalum kwa kuuwa Watu na kuwatupa maporini, amesema hawezi kuruhusu...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama Hali ya usalama kwa vijana walionekana Kenya inazidi kuhatarisha huku kukiwa na ongezeko la...
3 Reactions
67 Replies
9K Views
Back
Top Bottom