Wadau hamjamboni nyote?
Msiba mzito huko kenya
Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua afariki akipokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi, Katibu wa Kaunti Balozi Abass Ali athibitisha...
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi
Taarifa hiyo...
Mishahara ya Polisi yapanda
Mwenyekiti wa NPS amesema mishahara mipya itaanza kulipwa mwezi huu
---
Police officers in the country can now smileto the bank after receiving a pay rise of between...
Akizunguza Agosti 29, 2024 katika kikao na Wananchi, Kisumu Rais Ruto amesema hana taarifa ya mtu yeyote aliyeripotiwa kutekwa na vyombo vya usalama vya nchi wakati au baada ya maandamano ya hivi...
I listened to the analysis by this gentleman and I seem to agree with him that Raisa will lose again, and this must come out as a terrible frustrating blow to him...
1. Raila Amollo Odinga kupitia ODM ameokota Dodo kwenye mti wa mpera kwa Viongozi wa Chama chake Kuteuliwa nafasi za uongozi kwenye serikali ya Kenya. Huku Gen Z wakiendelea Kula vumbi Kibera na...
Shirika la utafiti lenye makao yake nchini uholanzi lilifanya utafiti barani afrika kuhusu urefu wa sehemu za kiume.
Nchini kenya watu 500,000 walipimwa.
Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:
57% ya...
Wizara ya Afya imethibitisha kisa cha pili cha Mpox katika kituo cha mpakani cha Malaba katika Kaunti ya Busia.
Katika taarifa yake siku ya Ijumaa, Katibu wa Baraza la Mawaziri la Afya Dkt...
KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu.
Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba...
Mwezi huu maada ya mchakato wa mwaka mzima Kenya imeitangaza rasmi Eldoret kuwa jiji la 5 katika nchi hiyo, hata hivyo Wakenya wengi wamedhihaki na kukebehi uamuzi huo wakiita Eldoret kuwa bado ni...
KAMA movie vile! Benki ya Equity nchini Kenya imeripoti kuibiwa kwa zaidi ya Shilingi za Kenya Bilioni 1.5 sawa na Shilingi za kitanzania Bilioni 30.Tukio hilo la aina yake liliripotiwa Julai...
hii ni kutokana na namna alivyofanikiwa kushughulikia na kuzima hasira za vijana wa gen z na kuwanyakua baadhi waandamizi machachari wa Raila Odinga na kuwapa kazi ndani ya serikali yake ya...
UPDATE:
August 22, 2024
KUTOROKA KWA WAFUNGWA: SHAHIDI ADAI WALITOKEA MLANGO MKUU KWA KUTEMBEA
Taarifa mpya zinaeleza Wafungwa 13 walitembea na kutoka kupitia mlango mkuu wa kituo cha Polisi...
Mwanaharakati afichua Miradi Hewa ya Rais Ruto
Wakili na Mwanaharakati wa Uwajibikaji, Morara Kebaso alianzisha ziara ya kitaifa ili kukagua Maendeleo ya Miradi iliyoanzishwa na Rais William Ruto...
Kipini: Kijiji cha pwani ya Kenya kinachotoweka baharini
Roberto Macri
Maelezo ya picha,Wageni wakati mmoja walifurahia mandhari ya kupendeza kutoka kwa roshani ya hoteli ya Tana Lodge
Wakati...
1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar)
2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa...
A Maasai Mara tented camp, Mahali Mzuri, owned by British tycoon Sir Richard Branson has been ranked as the number one hotel in the world. The Travel + Leisure World’s Best Awards released on...
Rais Ruto anaendelea na ziara yake ya kuwatembelea Wakenya majumbani mwao.
Leo alikuwa Kisii na kama kawaida ameinza siku kwa kupata chai ya maziwa na Mkate akiwa na wenyeji wake.
Ingekuwa...
1/7/2024
Vifo vinavyotokana na maandamano ya kushinikiza Rais Ruto aachie ngazi vyafikia 26, baada ya watu wawili zaidi kutokana na majeraha
Kevin Madanga (22) ambaye alipigwa risasi 3 wiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.