Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Waandishi wa Habari wameandamana jijini Nairobi kwa ajili ya kulaani mashambulizi ya Wanaoripoti Habari kuhusu Maandamano na vitisho kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari kutoka kwa Polisi Pia soma...
2 Reactions
1 Replies
851 Views
Watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha leo asubuhi katika ajali iliyohusisha magari kadhaa kando ya Southern Bypass, jijini Nairobi. Polisi pia wamesema watu wengine watatu wamejeruhiwa vibaya...
2 Reactions
1 Replies
519 Views
Gen Z wamepanga kuvamia sehemu tofaut tofauti ikiwemo Airport ya Nairobi/JKIA kama njia ya kushinikiza matakwa Yao, Hivyo kama unapanga safari fikiria mara mbili. Usije kujuta ugenini...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
16 July 2024 Nakuru, Kenya Mheshimiwa rais William S. Ruto wa Jamhuri ya Kenya alaumu mashirika ya kijamii yasiyo ya kiserikali pamoja NGOs kama mfuko wa wakfu wa US-Funded Ford Foundation...
2 Reactions
7 Replies
983 Views
Raia wa Kenya Wandamaana kutaka Shirika la IMF wasitoe Mikopo kwa Serikali ya Kenya Julai 20, 2024 raia wa Kenya walifanya maandamano katika makao makuu ya IMF jijini Washington DC kutaka...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Sunday Nation is reporting that Raila Odinga is currently in Dubai to meet former president Uhuru Kenyatta who has been convincing him to drop his AU bid and any attempts to join President William...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi? Nasema sasa imetosha...
35 Reactions
186 Replies
6K Views
Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya. ✓ Ni Mawaziri 6...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Rais William Ruto amewataka wanaosababisha machafuko kwa kufadhili watu kufanya vurugu nchini humo wajitokeze hadharani na washauri Serikali ifanye nini ili kuondokana na hali iliyopo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Proposed political deal with President William Ruto, as his coalition partners reject the plan for a government of national unity. Wiper party leader Kalonzo Musyoka has joined other Azimio la...
3 Reactions
2 Replies
893 Views
Ni dhahiri sasa, Kumbe nia na dhamira ya vijana wahalifu nyuma ya Gen Z haikuwa kupinga ushuru, kodi, na tozo zilizokuwako kwenye muswada wa sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025 ulioipitishwa na...
1 Reactions
90 Replies
3K Views
Watu wasiojulikana wakiwa kwenye pikipiki walifika katika ofisi za mwanaharakati Boniface Mwangi Jumamosi alasiri, wakisababisha vurugu na kuvuruga shughuli za kawaida katika eneo hilo. Mwangi...
1 Reactions
3 Replies
452 Views
odinga alikuwa anasikilizwa sana ila inaonekana hana la maana kwa nchi ya kenya: Raila Odinga : Ruto akiachia, ndo nini? Ruto huenda akaondoka kisha Gachagua achukue jukumu la kutekeleza sera...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye...
0 Reactions
3 Replies
714 Views
Sijawahi sikia mahali popote pale Rais akikiri kufeli..kushindwa. Hii na zaidi ya Democracy. Ruto ana kitu. Tumpe muda. He simply conceded the defeat.
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Gen Z wanasema Bara la Africa halijawahi kuwa Huru bali ni Unyonyaji ulihamishwa kutoka kwa Mzungu na kuwaachia vibaraka wao Weusi Sasa Gen Z ndio wanapigania Uhuru wa kweli na Leo ndio wanafanya...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Rais William Ruto wa Kenya atangaza Baraza jipya la mawaziri huku akiwarejesha baadhi ya mawaziri aliowaondoa kwenye mabadilko ya awali President William Ruto has named...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
President William Ruto nominates first batch of CSs- comprising of 11 names, to be vetted by the National Assembly for confirmation Ameteua Mawaziri 11 wapya pekee na Mwanasheria Mkuu mpya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku chache tu baada ya Rais William Ruto kulishtumu Shirika la Ford Foundation kutoka Marekani kwa kile alichokitaja kama 'kufadhili maandamano ya kupinga Serikali yake,' sasa Serikali kupitia...
0 Reactions
2 Replies
534 Views
Kenya ni majirani zetu wa karibu sana lakini yanayoendelea Kenya sio demokrasia kama ambavyo wengi wanadhani lakini hiyo ni politics accident ! Kuna watu wapo nyuma ya mpango wa kuvuruga utulivu...
8 Reactions
42 Replies
11K Views
Back
Top Bottom