Siasa za Kenya kuna wakati zina shangaza sana sasa sijui ni kusalitiana au vipi?
Bunge la Kenya linataka kumkong'oa Naibu wa Rais wa Kenya Rigadhi Gachagua.
Naibu Rais huyo wa Kenya anakabiliwa...
T
Telemedicine Services in Murang’a County:
Kenya’s technological Initiative to Decentralize Healthcare
Access to healthcare is a great challenge for many residents in Murang’a County, Kenya...
Mwanafunzi Eli Kipruto 22 wa Jomo Kenyatta University Kenya kajishindia ksh 200M(karibu bilioni 4 za kitanzania) baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 17 kwenye kampuni ya betika.
Pamoja na...
Kwa wanaofuatilia Siasa za Kanda ya Ziwa mtakua pamoja namm kuiona pattern inayojichora ya Paul kagame,Mseveni na Ruto
Hatimaye Ruto kaingia kwene 18 za hawa jamaa saizi nayeye kaanza kupambana...
Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara.
Huko Kenya Cheo...
Mahakama Kuu ya Kenya imesitisha uamuzi wa Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi wa nchi hiyo Douglas Kanja, wa kupiga marufuku maandamano ya umma yaliyopangwa na vijana wa Kenya katikati ya Jiji la...
Mchakato wa kukabidhi usimamizi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa kampuni ya Kihindi, Adani Enterprises, unaendelea, huku kampuni hiyo ikianzisha kampuni tanzu, Airports...
Kwenye video ambayo inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, trafiki mmoja nchini Kenya ameonekana kukamatwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuwa alitaka kupokea rushwa...
Adani anajadiliwa sana Citizen TV na BBC kuanzia jana akihusishwa kutaka Kukodi Uwanja wa Ndege JKIA lakini huko India ana utata kwenye masoko ya Hisa
Nilisikia hapa Tanzania kuna ADANI pale TPA...
Huko Kenya kuna mabishano makali ya kisiasa baada ya serikali ya Ruto kuamua kuikodishia kampuni ya Wahindi ya Adani Group uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) uliopo Nairobi.
Mpaka sasa...
Dickson Ndiema, mpenzi wa zamani wa Rebecca Cheptegei, amefariki hospitalini.
Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Uganda, marehemu Rebecca Cheptegei, ambaye alikuwa akituhumiwa kumuua kwa kumwagia...
Huku dunia ikidhiamisha siku ya hamasishisho dhidi ya kujitia kitanzi leo, takwimu kutoka kwa Idara ya takwimu nchini (KNBS) pamoja na Idara ya polisi zimeonesha kuwa takriban watu 1,576 walijitia...
Mahakama Kuu yatoa kibali kwa LSK na KHRC kuwasilisha ombi la mapitio ya kisheria kuhusu uamuzi wa KAA wa kukodisha JKIA kwa Adani kwa miaka 30.
Mahakama pia imetoa amri za kuhifadhi ambazo...
Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli anatarajiwa kuhukumiwa kifungo Ijumaa ijayo kwa kosa la kupuuza maagizo ya Mahakama mara saba.
Jaji Lawrence Mugambi ameeleza kuwa IGP...
DADA AHONGWA MPAKA SERIKALI YAINGILIA KATI
Mahakama ya kupambana na Rushwa Nchini Kenya, imeagiza account ya bank ya Mwanafunzi wa chuo cha Ufundi Nairobi. Felesta Njoroge (21) Ifungwe kwa siku...
Ni breaking news hapo Citizen TV
Taarifa kamili itawajia tuzidi kuwaombea.
---
Property of unknown value was destroyed on Saturday evening after a fire incident at Isiolo Girls High School.
This...
Baada ya Starlink kushusha bei ya plans zake na kuintroduce kifurushi cha Ksh. 1,300 ambayo ni sawa na kama Tsh. 26,000 za kitanzania kwa 50GB kwa mwezi na plan ya Tsh. 400 kwa GB 1 (20KES) pale...
Huko Kenya, pacha wawili wamemuomba mwanaume mmoja awaoe ili wasitengane.
Pacha hao wenye miaka 20 wamesema hawataki kutenganishwa hivyo waolewe na mwanaume mmoja.
Bwana Oleman Learat mwenye...
Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024.
Msemaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.