Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Pamoja na Katiba Mpya moto unawaka Kati ya Rais Ruto na Naibu wake mh Gachagua Gachagua sasa anataka Kiongozi wa Walio wengi Bungeni afurushwe Kwa sababu amemtukana --- Deputy President Rigathi...
1 Reactions
3 Replies
675 Views
Hii ni Kenya baada ya utekaji kukithiri. On Monday, September 30, police officers raided the office of Morara Kebaso, a strong critic of the Kenya Kwanza administration Morara's lawyers...
0 Reactions
6 Replies
876 Views
Gavana Abdullswamad Sharrif Nassir wa Mombasa anatuhumiwa kila kona kwa kutuma wahuni kumlawati mwanablogu mkosoaji wake Bruce John. Video ya mwanablogu huyo akifanyiwa madhila hayo imesembaa...
0 Reactions
5 Replies
592 Views
Naibu Rais Rigathi Gachagua amekana tuhuma dhidi yake ikiwemo kudaiwa kumtaka Rais #WilliamRuto kumpa Ksh. Bilioni 8 (Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana na wawili hao...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Gachagua impeachment motion to be tabled next week with 300 signatures collected National Assembly members are expected to table the impeachment motion against Deputy President Rigathi Gachagua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni baada ya kuonekana akimuhujumu Rais, akihubiri na kuchochea chuki na migawanyiko ya kisiasa yenye mirengo kikabila na upendeleo wa watu wa kabila na eneo lake la Milima Kenya. Naibu wa Rais...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Kampuni ya mawasiliano Safaricom imefungua milango ya ushirikiano na kampuni ya mtandao wa satelaitii ya Starlink, ikiwa ni hatua ya kuimarisha teknolojia ya intaneti nchini. Mkurugenzi Mtendaji...
3 Reactions
3 Replies
775 Views
Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Maafisa kutoka Wizara ya Afya wamelazimika kusitisha kikao ambacho kilikuwa kinakusudia kufundisha wafanyakazi walioteuliwa kuhusu Mfuko mpya wa Bima ya Afya ya Jamii (SHIF). Hii ni baada ya...
0 Reactions
3 Replies
566 Views
Habari zenu pande ya Kenya? Kama kuna mtu anajua mmiliki wa hili LORI amwambie dereva wake leo alitaka kuua watoto wa kwenye school bus maeneo ya Mizani ya Pongwe Tanga, Aliovateki kwenye kona...
5 Reactions
8 Replies
686 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema Polisi pekee hawastahili kulaumiwa kwa vifo vya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano ya 25 Juni, 2024 ambayo yalihusisha majengo...
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Chaguo la kwanza, Ni ama ajiuzulu nafasi yake kwa hiyari yake mwenyewe, kuepuka fedheha ya kubaduliwa na bunge kutoka kwenye wadhifa wa naibu Rais kutokana na tuhuma za kukiuka katiba...
2 Reactions
10 Replies
952 Views
Starlink now providing Nairobi City Hall with reliable internet with speeds ranging between 120 Mbps and 200 Mbps – The Starlink system provides both redundancy during primary network outages and...
2 Reactions
4 Replies
706 Views
Ili mradi kuna win win situation
0 Reactions
3 Replies
440 Views
Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama. IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Huyu kijana anaonekana ni Mkora tu, na inaonyesha analala chini ya madaraja au vibarazani mwa maduka au kwenye mitalo huku akijifunika ngumi. Haijarishi yupo informed kwa kiwango kipi, pamoja na...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Ni hilo tu kama itampendeza Spika Tulia basi awapeleke akina Babu Tale hapo Kenya wakapigwe msasa Mlale Unono 😀
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Shujaa Magufuli japo ametwaliwa yungali anaishi Mfumo mzima wa aina ya uongozi sasa umechukuliwa na Serikali ya nchi jirani Ili kuwaridhisha Wananchi Ardhi na Mali ya Umma iliyochukuliwa...
19 Reactions
64 Replies
2K Views
Changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi inaendelea kuleta madhara makubwa kwa jamii za Kenya, iwe ni mafuriko wakati wa mvua kubwa, au ukosefu wa chakula baada ya mafuriko kuathiri uzalishaji wa...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Rais Ruto baada ya kuwananga Ford Foundation na kuwatuhumu Kuwa walifadhili maandamano ya Gen Z sasa amegeuka na kuwamwagia Sifa kedekede Ruto amesema Ford Foundation ndio inayoongoza kwa...
1 Reactions
1 Replies
533 Views
Back
Top Bottom