Kwanini Kenya wanalia mbona Uganda wamepigiwa mnada Ng'ombe 6000 hawalalakiki na Magufuli yupo Uganda saizi

I

ipo siku utakufa

Senior Member
Joined
Dec 8, 2016
Messages
144
Likes
505
Points
80
I

ipo siku utakufa

Senior Member
Joined Dec 8, 2016
144 505 80
Hivi karibuni serikali ilikamata Ng'ombe 6000 kutoka Uganda walioingia nchini na kuwapiga mnada lakini Uganda wamenyamaza na wala hawalii na kama hio haitoshi Rais amekutana na Museveni mpakani na kufungua kituo kwa pamoja huku wakiwa na bashasha na Mh Rais atafanya ziara nchini Uganda

d546fac8a0354a43860b9add6226b395.jpg

Turudi sasa kwa hawa majirani wengine Kenya kupigiwa mnada Ng'ombe 1600 tu wanapiga makelele, wanalia na baadhi ya viongozi kuanza kuropoka.

Why Kenya mbona Uganda ambao idadi ya Ng'ombe kubwa zaidi wameshikiliwa na wapo calm.

Na uhusiano upo imara zaidi

de354d0b25a59330a746814f944f6c12.jpg

Kenyans acheni kulialia na Bavicha mbona hamuwatetei Uganda ?
 
tanga kwetu

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
2,176
Likes
1,156
Points
280
tanga kwetu

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
2,176 1,156 280
If Bwana X akitendewa ubaya akanyamaza then wooote wakitendewa ubaya ule ule wanapaswa kunyamaza eti tu kwa vile Bwana X alinyamaza?. Kuna tataizo kubwa kwa watanzania wa sasa. Somo la filosofia lianze kufundishwa kuanzia shule za msingi
 
K

Kuntakint

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
1,464
Likes
941
Points
280
K

Kuntakint

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
1,464 941 280
Hivi karibuni serikali ilikamata Ng'ombe 6000 kutoka Uganda walioingia nchini na kuwapiga mnada lakini Uganda wamenyamaza na wala hawalii na kama hio haitoshi Rais amekutana na Museveni mpakani na kufungua kituo kwa pamoja huku wakiwa na bashasha na Mh Rais atafanya ziara nchini Uganda

d546fac8a0354a43860b9add6226b395.jpgTurudi sasa kwa Hawa majirani wengine Kenya kupigiwa mnada Ng'ombe 1600 tu wanapiga makelele,wanalia na baadhi ya viongozi kuanza kuropokaWhy Kenya mbona Uganda ambao idadi ya Ng'ombe kubwa zaidi wameshikiliwa na wapo calm

Na uhusiano upo imara zaidi

de354d0b25a59330a746814f944f6c12.jpg

Kenyans acheni kulialia na Bavicha mbona hamuwatetei Uganda ?
Tanzania tunayo safari ndefu kama bado wengi wanayo akili za kibashite. Hatufiki mbali TANZANIA INAHITAJI ELIMU KULIKO KITU CHOCHOTE KILE
 
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
8,622
Likes
11,858
Points
280
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
8,622 11,858 280
If Bwana X akitendewa ubaya akanyamaza then wooote wakitendewa ubaya ule ule wanapaswa kunyamaza eti tu kwa vile Bwana X alinyamaza?. Kuna tataizo kubwa kwa watanzania wa sasa. Somo la filosofia lianze kufundishwa kuanzia shule za msingi
I second you Mr. Ferdinando Sucre.
 
I

ipo siku utakufa

Senior Member
Joined
Dec 8, 2016
Messages
144
Likes
505
Points
80
I

ipo siku utakufa

Senior Member
Joined Dec 8, 2016
144 505 80
Tanzania tunayo safari ndefu kama bado wengi wanayo akili za kibashite. Hatufiki mbali TANZANIA INAHITAJI ELIMU KULIKO KITU CHOCHOTE KILE
Elimu ya nini ?

Ng'ombe wameingizwa nchini kwa uvunjwaji wa sheria tena wameingizwa kwenye hifadhi ..mtu akivunja sheria za nchi ,sheria zinasemaje

Kwani serikali iliingia Kenya na kuwaiba au baada ya sheria kuvunjwa wakachukua hatua?

Ndio umejiona umeandika point mwenyewe ,genius eti Tanzania tuna safari ndefu sana
 
Ki Mun

Ki Mun

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Messages
3,450
Likes
3,980
Points
280
Ki Mun

Ki Mun

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2014
3,450 3,980 280
Hivi karibuni serikali ilikamata Ng'ombe 6000 kutoka Uganda walioingia nchini na kuwapiga mnada lakini Uganda wamenyamaza na wala hawalii na kama hio haitoshi Rais amekutana na Museveni mpakani na kufungua kituo kwa pamoja huku wakiwa na bashasha na Mh Rais atafanya ziara nchini Uganda

d546fac8a0354a43860b9add6226b395.jpgTurudi sasa kwa Hawa majirani wengine Kenya kupigiwa mnada Ng'ombe 1600 tu wanapiga makelele,wanalia na baadhi ya viongozi kuanza kuropokaWhy Kenya mbona Uganda ambao idadi ya Ng'ombe kubwa zaidi wameshikiliwa na wapo calm

Na uhusiano upo imara zaidi

de354d0b25a59330a746814f944f6c12.jpg

Kenyans acheni kulialia na Bavicha mbona hamuwatetei Uganda ?
Wewe sifia tu eti Uganda hawalalamiki kisa huwajui akina Museveni...Museveni anaweza kumpa hata na ndege ya kwenda kuringishia kijijini kwake Lyabambagwe lakini kabla hajarefusha bichwa asome kilichompata Dr.John Garang
 
BarTender

BarTender

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Messages
439
Likes
303
Points
80
BarTender

BarTender

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2016
439 303 80
Kwa maelezo hayo inaonyesha dhahiri Kenya wanathamini watu wao, biashara zao mpaka na Mali zao.

Hongera sana na ndo maana wanatukimbiza karibia kila sekta
 
evansGREATDeal

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
3,907
Likes
2,116
Points
280
evansGREATDeal

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
3,907 2,116 280
Magu na museveni Lao moja vyote vidikteta vioga...
Wanaelewana wote wanajali Sifa kuliko uhalisia
 
T

tikakami wa lopelope

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
1,366
Likes
624
Points
280
T

tikakami wa lopelope

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
1,366 624 280
Kenya ni wamasai wanaosadia kampeni za wamasai wenzao wa Tanzania tunapo elekea 2020.
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
14,747
Likes
12,489
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
14,747 12,489 280
Kuvunjika kwa jumuiya ya Afrika Mashariki.
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
14,747
Likes
12,489
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
14,747 12,489 280
Kiaje? Ungesema Kenya kujitoa EA. EA itavunjikaje wakati Kagame, M7, JPM na Nkurunziza wako pamoja? Acha propaganda
Sasa kila ng'ombe wa nchi jirani akiingia kwako unapiga mnada.

Wataingia wa Rwanda utapiga mnada, wa Burundi mnada, wa Uganda mnada wa Kenya mnada. Utaishi vipi na majirani zako.
Nini maana ya jumuiya?
 
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
3,941
Likes
3,374
Points
280
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
3,941 3,374 280
Afadhali Rafiki au jirani anayepiga kelele akihisi umemkosea kuliko jirani anayekunyamazia na kukusalimia mkono huku akitabasamu hata baada ya kumkosea.

Kawaida ya mkenya ukimkosea hatanyamaza, atakujulisha hisia zake usoni mwako akikuangalia, hatangojea ugeuke uumpe mgongo alafu ndo akudunge kisu kama watu wengine
 
Forum statistics

Threads 1,237,880
Members 475,769
Posts 29,304,314