KISAUNI: Mfanyabiashara atekwa, auawa baada ya familia yake kushindwa kutuma Kshs. milioni 2 za kumuokoa

real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,104
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,104 280
Mwili wa mfanyabiashara mwenye asili ya Ki Asia aliyejulikana kwa jina la Moiz Esmailjee ambaye alitekwa na watu waliokuwa na silaha siku ya Jumamosi alipotoka kuswali
Amekutwa amekabwa shingoni, mdomo wake umefungwa kwa tepu na mikono imefungiwa mgongoni
Polisi wanasema watekaji hao walitaka walipwe Kshs, milioni 2 ambazo familia yake ilishindwa kuzipata
Familia hiyoilifanikiwa kuwatumia Ksh. laki tatu kwa M Pesa lakini hawakuwaridhisha watekaji hao

joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,413
Likes
7,100
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,413 7,100 280
Vipi wale mnawanyonga na kuwafunga kwa mawe na kuwatosa ziwani, nyie wala albino mna nini kipya cha kuongea kuhusu roho mbaya.
Suala la albino nilekua historia huku kwetu, kwasababu hamna hoja, mumebaki kushikilia kitu kilichokwisha muda wake, vipi ninyi mlivyouwa watu ndani ya makanisa 2007, hata Mungu hamumuugopi, huo ni unyama na ushenzi uliopitiliza, Kenya na Rwanda ni nchi pekee duniani zisizojali na kuheshimu Mungu na nyumba za ibada, kwao kuuwa watu ni muhimu zaidi ya Mungu

Ujaribu kutofautisha kati ya epidemic na endemic, Tanzania tukio kama hilo la waliouliwa huko ziwani ni epidemic kwetu, tunashangaa na mkuu wa polisi anawajibika kutoa maelezo, ila huko Kenya, hata watu wakiuliwa ishirini kwa siku bado ni endemic, mnaona ni jambo la kawaida, lipo ndani ya acceptable standards, kila siku unasikia mke au mume kamuua mpenzi wake, mara school shootings, mara yule mwalimu toka Australia amepigwa risasi barabarani, mara shule zimechomwa moto wanafunzi wameuliwa na mwanafinzi mwenzao, mara walinzi wa kanisa wameuliwa huko Mombasa na silaha zao kuchukuliwa, msikilize huyu bint anavyolalamika kwamba nusu ya Kenya huko kaskazini ni mauaji tu yanayoendelea
Bably Sherman
 
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Messages
955
Likes
674
Points
180
Age
45
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2016
955 674 180
Vipi wale mnawanyonga na kuwafunga kwa mawe na kuwatosa ziwani, nyie wala albino mna nini kipya cha kuongea kuhusu roho mbaya.
Kenya!!!! Mnatisha sana Mkuu. Kama mkurugenzi wa tume aliuawa kiurahisi vile, basi waliobaki ni cha mtoto. Kuna watu hawana huruma Kenya hadi ajabu. Ujambazi uliotukuka uko Kenya. Utapeli wa viwango vya kimataifa uko Kenya. Roho mbaya kwa ujumla, Kenya inaongoza Afrika Mashariki. Kenya ndo iliyovunja jumuiya ya awali ya Afrika Mashariki (wewe ulikuwa hujazaliwa).
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,413
Likes
7,100
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,413 7,100 280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,413
Likes
7,100
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,413 7,100 280
Most dangerous countries in the world 2017 – ranked
Angalia hii orodha ya kidunia, mpo namba 39, wakati Tanzania ipo 110, bado mnajilinganisha na nchi teule ya Tanzania, funga mdomo wako Tanzania ni nchi ya maziwa na asali, ila karibu sana uje upige pesa, kwanini usihamia kabisa Tanzania?
 
The Monk

The Monk

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
12,196
Likes
17,585
Points
280
The Monk

The Monk

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2012
12,196 17,585 280
Ndugu zangu joto la jiwe na MK254 nafikiri tukiweka mbali mambo mengine haya mambo sio mazuri iwe ni Kenya au Tanzania. Hata huku kwetu mbona kuna watoto walitekwa na watekaji wakadai kiwango cha pesa? wengine si waliuawa? Matukio ya miili kuokotwa baharini, ziwani, watu kupotea, kupigwa risasi n.k bado tu tunaona TZ tuko salama na kuthubutu kusema wakenya wana roho mbaya?

Hivi vitendo ni vya kulaani na kukemewa kabisa. Thamani ya binadamu mmoja ni kubwa mmno. Uhai wake haulinganishwi na chochote. Bila kujali tukio limehusisha watu wangapi, kama limeondoa uhai wa mtu sio la kufumbiwa mamcho.
Bora mjadala ujikite kwenye kutokomeza na kulaani kuliko kuangalia unafuu wa tatizo, wauwaji wanaojiita wasiojulikana hawana ahueni yeyote.
 
Hunyu

Hunyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,270
Likes
2,547
Points
280
Hunyu

Hunyu

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,270 2,547 280
Most dangerous countries in the world 2017 – ranked
Angalia hii orodha ya kidunia, mpo namba 39, wakati Tanzania ipo 110, bado mnajilinganisha na nchi teule ya Tanzania, funga mdomo wako Tanzania ni nchi ya maziwa na asali, ila karibu sana uje upige pesa, kwanini usihamia kabisa Tanzania?
Kwa maana hiyo zote zilizo chini ya Tz zina amani kuzidi TZ, naanza kuamni kale ka msemo ka kisiwa cha amani kanaanza kupitwa na makanza
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,000
Likes
9,995
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,000 9,995 280
Suala la albino nilekua historia huku kwetu, kwasababu hamna hoja, mumebaki kushikilia kitu kilichokwisha muda wake, vipi ninyi mlivyouwa watu ndani ya makanisa 2007, hata Mungu hamumuugopi, huo ni unyama na ushenzi uliopitiliza, Kenya na Rwanda ni nchi pekee duniani zisizojali na kuheshimu Mungu na nyumba za ibada, kwao kuuwa watu ni muhimu zaidi ya Mungu

Ujaribu kutofautisha kati ya epidemic na endemic, Tanzania tukio kama hilo la waliouliwa huko ziwani ni epidemic kwetu, tunashangaa na mkuu wa polisi anawajibika kutoa maelezo, ila huko Kenya, hata watu wakiuliwa ishirini kwa siku bado ni endemic, mnaona ni jambo la kawaida, lipo ndani ya acceptable standards, kila siku unasikia mke au mume kamuua mpenzi wake, mara school shootings, mara yule mwalimu toka Australia amepigwa risasi barabarani, mara shule zimechomwa moto wanafunzi wameuliwa na mwanafinzi mwenzao, mara walinzi wa kanisa wameuliwa huko Mombasa na silaha zao kuchukuliwa, msikilize huyu bint anavyolalamika kwamba nusu ya Kenya huko kaskazini ni mauaji tu yanayoendelea
Bably Sherman
Haya ma-insha yako nilikuambia huwa siyasomi wakati unapindisha pindisha, ukweli wa mambo uchinjaji upo kwenu balaa, miili ya watu inaokotwa kwenye fukwe, mara imetiwa kwenye viroba na kutupwa ndani mito, tatizo ni kwamba kwenu media za kimataifa huwa haziwaanikii sana, nafikiri ni kwasababu mumejificha kwenye Kiswahili.
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,413
Likes
7,100
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,413 7,100 280
Ndugu zangu joto la jiwe na MK254 nafikiri tukiweka mbali mambo mengine haya mambo sio mazuri iwe ni Kenya au Tanzania. Hata huku kwetu mbona kuna watoto walitekwa na watekaji wakadai kiwango cha pesa? wengine si waliuawa? Matukio ya miili kuokotwa baharini, ziwani, watu kupotea, kupigwa risasi n.k bado tu tunaona TZ tuko salama na kuthubutu kusema wakenya wana roho mbaya?

Hivi vitendo ni vya kulaani na kukemewa kabisa. Thamani ya binadamu mmoja ni kubwa mmno. Uhai wake haulinganishwi na chochote. Bila kujali tukio limehusisha watu wangapi, kama limeondoa uhai wa mtu sio la kufumbiwa mamcho.
Bora mjadala ujikite kwenye kutokomeza na kulaani kuliko kuangalia unafuu wa tatizo, wauwaji wanaojiita wasiojulikana hawana ahueni yeyote.
Maendeleo maana yake ni kupiga hatua kwa kubadili hali uliyokuwepo jana ili ile hali ya leo na kesho iwe bora zaidi, kila nchi ina matatizo duniani, lakini lazima nchi hizo zifanye juhudi ya kupunguza hayo matatizo na matokeo yake yaonekane, hapo ndipo kwenye utofauti kati ya Kenya na Tanzania, huku Tanzania kukitokea tatizo, kwa sehemu kubwa serikali inajitahidi na baada ya muda hilo tatizo linapunguzwa au kumalizwa kabisa, mifano ipo mingi tu, panya road, ujambazi wa kutisha wa kuiba Benk na kuteka magari, mauaji ya albino, ulipuaji mabomu makanisani kule Arusha, mauaji ya Tanga na Kibiti, mauji katika mikoa ya Kigoma, karibu vyote vimedhibitiwa, japo kunatokea mapya lakini haraka sana serikali inaingilia kati, kwa wenzetu wa Kenya mambo ni tofauti kabisa, kila siku hali inazidi kuwa mbaya katika kila eneo, ndiyo sababu kila siku Kenya inaporomoka katika viwango vya kimataifa
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,413
Likes
7,100
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,413 7,100 280
Haya ma-insha yako nilikuambia huwa siyasomi wakati unapindisha pindisha, ukweli wa mambo uchinjaji upo kwenu balaa, miili ya watu inaokotwa kwenye fukwe, mara imetiwa kwenye viroba na kutupwa ndani mito, tatizo ni kwamba kwenu media za kimataifa huwa haziwaanikii sana, nafikiri ni kwasababu mumejificha kwenye Kiswahili.
Kwahiyo hata hizo nchi zingine zilizowapiteni pia media haziwafikii, nchi lenu ni one among the dangerous countries in the World, dunia nzima inajua hivyo, ila karibu Tanzania, je Uganda inayotumia English, mbona imewapita?
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,000
Likes
9,995
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,000 9,995 280
Ndugu zangu joto la jiwe na MK254 nafikiri tukiweka mbali mambo mengine haya mambo sio mazuri iwe ni Kenya au Tanzania. Hata huku kwetu mbona kuna watoto walitekwa na watekaji wakadai kiwango cha pesa? wengine si waliuawa? Matukio ya miili kuokotwa baharini, ziwani, watu kupotea, kupigwa risasi n.k bado tu tunaona TZ tuko salama na kuthubutu kusema wakenya wana roho mbaya?

Hivi vitendo ni vya kulaani na kukemewa kabisa. Thamani ya binadamu mmoja ni kubwa mmno. Uhai wake haulinganishwi na chochote. Bila kujali tukio limehusisha watu wangapi, kama limeondoa uhai wa mtu sio la kufumbiwa mamcho.
Bora mjadala ujikite kwenye kutokomeza na kulaani kuliko kuangalia unafuu wa tatizo, wauwaji wanaojiita wasiojulikana hawana ahueni yeyote.
Bora umeisema wewe, humu kuna wanaafiki wapo kikazi zaidi, wameweka simu zao zinategeshea taarifa zozote kuhusu Kenya watatiririka na kukeshea.
Mimi nilisoma hizi taarifa kwenye magazeti zikanihuzunisha sana, nilipoona zimeletwa JF nikawa na nia ya kuja kukemea ila nikakuta jamaa wa ligi tayari wameshatafuta viti na kukaa kabisa, na kuanza kusifia Tanzania, yaani Tanzania moja ninayoifahamu, ile ambayo leo hii tunauguza kiongozi wake wa upinzani baada ya kupigwa risasi 38, hakupelekwa Msumbiji, Afrika Kusini, Botswana, ila aliletwa hapa kwetu.
 
Mohammed Ahmed Alfayed

Nchi yenu imeoza kabisa
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
2,482
Likes
613
Points
280
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
2,482 613 280
Dah poleni sana ndugu zetu wa kisauni mungu atawapa subira njema
 
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
3,982
Likes
3,066
Points
280
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
3,982 3,066 280
Kwahiyo hata hizo nchi zingine zilizowapiteni pia media haziwafikii, nchi lenu ni one among the dangerous countries in the World, dunia nzima inajua hivyo, ila karibu Tanzania, je Uganda inayotumia English, mbona imewapita?
Hiyo rank imechangiwa pakubwa na alshaabab toka Somalia !
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,413
Likes
7,100
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,413 7,100 280
Wewe unajisemea tuu kuna unyama zaidi ya kuokota watu kwenye viroba coco beach
Wewe ndiyo unasema hivyo, lakini dunia nzima inaona vile ninavoona mimi, ndiyo sababu Kenya inaongoza Afrika katika mauaji ya kiholela, na duniani imeshika nafasi ya 39, na Tanzania 110, sasa wewe unapingana na dunia nzima?
Hiyo rank imechangiwa pakubwa na alshaabab toka Somalia !
 
SACO

SACO

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
786
Likes
536
Points
180
SACO

SACO

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
786 536 180
Ndugu zangu joto la jiwe na MK254 nafikiri tukiweka mbali mambo mengine haya mambo sio mazuri iwe ni Kenya au Tanzania. Hata huku kwetu mbona kuna watoto walitekwa na watekaji wakadai kiwango cha pesa? wengine si waliuawa? Matukio ya miili kuokotwa baharini, ziwani, watu kupotea, kupigwa risasi n.k bado tu tunaona TZ tuko salama na kuthubutu kusema wakenya wana roho mbaya?

Hivi vitendo ni vya kulaani na kukemewa kabisa. Thamani ya binadamu mmoja ni kubwa mmno. Uhai wake haulinganishwi na chochote. Bila kujali tukio limehusisha watu wangapi, kama limeondoa uhai wa mtu sio la kufumbiwa mamcho.
Bora mjadala ujikite kwenye kutokomeza na kulaani kuliko kuangalia unafuu wa tatizo, wauwaji wanaojiita wasiojulikana hawana ahueni yeyote.
Jiongeze mkuu au siku moja tembelea kenya ndio utajua Tz ni salama sana... hayo matukio machache yasikufanye utulinganishe na Kenya
 
SACO

SACO

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
786
Likes
536
Points
180
SACO

SACO

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
786 536 180
Haya ma-insha yako nilikuambia huwa siyasomi wakati unapindisha pindisha, ukweli wa mambo uchinjaji upo kwenu balaa, miili ya watu inaokotwa kwenye fukwe, mara imetiwa kwenye viroba na kutupwa ndani mito, tatizo ni kwamba kwenu media za kimataifa huwa haziwaanikii sana, nafikiri ni kwasababu mumejificha kwenye Kiswahili.
We nyang'au kuwa mkweli, suala la usalama kenya ni tatizo
 
Forum statistics

Threads 1,237,160
Members 475,462
Posts 29,279,883