Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Kenya (KCCB) limeitaka serikali kufanya mapitio ya haraka ya marekebisho mapya ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Uhalifu wa Mtandaoni pamoja na Sheria...
1 Reactions
3 Replies
192 Views
Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;- Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi...
18 Reactions
209 Replies
8K Views
Mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata Lain(Simcard) ya Safaricom, Napatikqna Dodoma, Tanzania.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Takribani watu 17 wamepoteza maisha wakiwa gerezani kati ya mwaka 2024 na 2025, kwa mujibu wa ripoti ya Independent Medico-Legal Unit (IMLU)IMLU shirika lisilo la kiserikali nchini Kenya...
1 Reactions
3 Replies
199 Views
Serikali ya Kenya imetoa wito kwa serikali ya Uganda kufanya uchunguzi huru kwa raia wawili wa Kenya waliotekwa na kupitea nchini Uganda ambao hadi sasa hawajulikani walipo. Bob Njagi na Nicholaus...
1 Reactions
3 Replies
232 Views
Ubalozi wa Kenya jijini Dar es Salaam umeihakikishia raia wa Kenya wanaoishi nchini Tanzania kuhusu usalama wao, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu Kupitia taarifa iliyotolewa...
2 Reactions
3 Replies
307 Views
Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri na Waziri wa Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora, Musalia Mudavadi, akitaka hatua za haraka kuchukuliwa...
2 Reactions
4 Replies
343 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Faith Odhiambo, amewakaribisha wanaharakati Nicholas Oyoo na Bob Njagi, ambao walipatikana usiku wa Alhamisi katika mpaka wa Busia baada ya kutoweka...
0 Reactions
2 Replies
299 Views
The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed Either...
4 Reactions
75 Replies
2K Views
Familia moja katika mtaa wa Huruma jijini Nairobi imejikuta katika majonzi makubwa kufuatia kuuawa kwa ndugu yao, John Okoth Ogutu, raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 33, aliyeuawa wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Afisa mmoja wa Kikosi cha GSU aliyeambatana na msafara wa ulinzi wa Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, amethibitisha kupoteza bastola yake wakati wa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila...
1 Reactions
6 Replies
482 Views
Waziri Mkuu wa zamani, marehemu Raila Odinga, ametunukiwa Nishani ya Juu Zaidi ya Heshima Nchini Kenya — Chief of the Order of the Golden Heart (C.G.H), heshima ambayo ni ya juu kuliko zote nchini...
1 Reactions
3 Replies
272 Views
John Chebochok, afisa wa mashamba ya chai ambaye alihusishwa pakubwa katika makala ya BBC iliyoangazia unyanyasaji wa kingono katika mashamba ya chai eneo la Kericho, anaripotiwa kujiandaa...
1 Reactions
2 Replies
167 Views
Tume ya Kitaifa ya Uwiani na Maridhiano nchini Kenya (NCIC) imemtaka Gavana wa Nyeri, Mutahi Kahiga, kutoa maelezo rasmi kuhusu kauli zake zilizozua utata kuhusu kifo cha aliyekuwa kinara wa ODM...
1 Reactions
2 Replies
234 Views
  • Featured
Raila Odinga (RAO) afariki dunia huko India. Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80. R.I.P Papa. Utangulizi Raila Amolo Odinga ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri zaidi katika historia ya Kenya...
26 Reactions
135 Replies
5K Views
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Kenya Dr. William Ruto https://www.youtube.com/watch?v=YT87RClirPI Miongoni mwa Waliohudhuria mazishi ni Rais wa Kenya - Samweli Ruto Naibu Rais Kenya...
1 Reactions
2 Replies
438 Views
Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga kwa sasa umefika katika uwanja wa michezo wa Kasarani kwa ajili ya kuagwa. Maafisa wa jeshi wamelazimika kufyatua risasi angani ili...
1 Reactions
4 Replies
308 Views
" I was with him when he took his last breath. He died in my arms, but not in the way people have been saying on social media. He passed away strong, with dignity and pride. You should be proud of...
2 Reactions
3 Replies
388 Views
Leo Oktoba 17, 2025, hafla ya kuuaga mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga, inaendelea katika Uwanja wa Nyayo, ikihudhuriwa na Rais William Ruto, viongozi mbalimbali, familia...
1 Reactions
2 Replies
415 Views
Back
Top Bottom