An artistic impression of JW Marriott Masai Mara Lodge’s junior suite tent bedroom. PHOTO | COURTESY | MARIOTT INTERNATIONAL
Global hotel chain Marriott International has signed an agreement with...
Lamu Port will on Thursday come to life as 204-metre long Mv CAP Carmel, a Denmark-based shipping line, with general cargo from Port of Dar es Salaam, docks on its way to Salalah in Oman.
Mv...
Rais wa Kenya, William Ruto, amezungumza kwa msisitizo kuhusu siasa za upinzani, akisema kuwa serikali haiwezi kuachia madaraka kwa watu ambao mpango wao pekee wa kisiasa ni kauli ya “Ruto must...
Wakuu,
Kwa niaba ya JF, nitahakikisha mnafahamu kinachojiri toka hapa Kenya ambapo uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika hapo kesho.
Tayari Raila Odinga ametangaza kuwa Muungano wa NASA utakuwa...
Waandamanaji na vijana wenye hasira kali wamemfukuza kwenye mochwari mbunge wa Wanawake wa Kaunti ya Homa Bay, Joyce Atieno, anayejulikana kama 'Bensouda'.
Bensouda alikuwa ameendaa kutazama...
https://www.youtube.com/watch?v=Wn-0pGD3hwg
Mamia ya waandamanaji wamekusanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi na miji mingine nchini Kenya wakipinga mipango ya serikali kuhusu...
Video ya ulinzi (CCTV) iliyopatikana hivi punde imethibitisha kuwa Albert Ojwang’ alikuwa tayari amefariki wakati alipofikishwa katika Hospitali ya Mbagathi na maafisa wa polisi kutoka Kituo Kikuu...
Ninatolewa kafara. Sasa mimi ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang, ingawa sina hatia.
Maafisa wa DCI walipomleta Albert Ojwang katika Kituo Kikuu cha Polisi, alikuwa katika hali mbaya...
Wale wapenzi wa Katiba Mpya mnaweza kufuatilia impeachment ya Naibu Rais mh Gachagua
Mtajifunza mengi mazuri na madhaifu pia
Maseneta bado wamejifungia Kwenye kikao cha faragha ambacho...
Mali zenye thamani ya zaidi ya Tsh.8.5 bilioni (sawa na Ksh.428 milioni) zinazohusishwa na aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, na washirika wake zinatarajiwa kuuzwa kwa mnada tarehe 23 mwezi...
Maandamano yamezidi kushika kasi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, siku ya Alhamisi, ambapo magari yalichomwa moto na polisi walifyatua mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji waliokuwa na...
Mamlaka Huru ya Uangalizi wa Utendaji wa Polisi (IPOA) imetoa tahadhari kuhusu kuongezeka kwa vifo vinavyotokea wakiwa mikononi mwa polisi, ikieleza kuwa angalau watu 20 wamefariki katika kipindi...
Mtuhumiwa wa pili amekamatwa kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mwalimu mwenye umri wa miaka 31, Albert Ojwang’, hatua inayozidi kuongeza uzito wa uchunguzi wa tukio hilo la kusikitisha.
Vyanzo...
Inspekta Generali kwa niaba ya Jeshi la Polisi Kenya ameomba radhi kuhusu ripoti iliyotolewa na polis kuwa Ojwang' alikufa baada ya kujigonga mwenyewe ukutani alipokuwa gerezeni
Asema ripoti hiyo...
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao...
"Wananchi hawakutuchagua ili tulalamike kama wao, tunapaswa kuona haya... Tuchukulie kwa uzito kifo cha Albert Ojwang," Seneta Cheruiyot aliwaambia maseneta
=================
“The people did not...
Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa...
Polisi wamethibitisha kuwa Albert Ojwang alikuwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za uongo na alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kudaiwa kujigonga ukutani akiwa...
Rais William Ruto ameteua rasmi Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC). Uteuzi huu umefanyika kupitia Tangazo la Serikali (Gazette Notice No. 7724)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.