Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Mamlaka nchini Kenya imeweka marufuku ya kutotoka nje kwa siku saba (7) kuanzia jioni hadi alfajiri katika baadhi ya sehemu za kaunti ya Nakuru baada ya kuanza kwa ghasia za kikabila kwenye eneo...
1 Reactions
2 Replies
413 Views
Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo tu taasisi ya kupambana na Rushwa imewakamata Magavana watatu na wako korokoroni hadi kesho watakapopandishwa kizimbani Waziri wa Afya amekabidhi kwa DCI mafaili ya zaidi ya mafisadi 100...
1 Reactions
0 Replies
335 Views
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, nchini humo. Agizo hilo la muda pia linazuia ujenzi kama huo...
3 Reactions
5 Replies
828 Views
Nimefuatilia hii hadithi, nadhani ni kweli kuwa jamaa huyu ni mtoto wa hayati mzee Jomo. https://www.youtube.com/watch?v=B9GsiVtTRek
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakenya wanaopenda vinywaji vya kilevi wamepata pigo kubwa baada ya Serikali kuchukua hatua ya kupiga marufuku uuzaji wa pombe katika maduka makubwa (supermarkets), migahawa (restaurants)...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Rostam Aziz speaks out on the difficulty of Tanzanians investing in Kenya WEDNESDAY MAY 05 2021 Mr Rostam Aziz in an interview with BusinessWeek PHOTO|SYRIACUS BUGUZI Summary Rostam was...
22 Reactions
121 Replies
20K Views
Maseneta sasa wametoa vitisho vya kuanzisha mchakato wa kuwapigia kura ya kutokuwa na imani (impeachment) Maspika wa Bunge la Kitaifa na Seneti iwapo hawatamuita Rais William Ruto kufika mbele ya...
1 Reactions
4 Replies
559 Views
Rais Ruto amesema kwa nafasi yako ni mtumiaji wa Law intelligence data na ana taarifa Wabunge wa Kenya wamekuwa wakinunuliwa na matajiri kwa maslahi ya wachache Ruto ameahidi kukamata Wabunge...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
GT Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM. Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
16 Reactions
52 Replies
3K Views
Wabunge wa ODM na Kenya Kwanza wakabaki wanaulizana huyo Mwamba wa nchi jirani ni nani? Ila Raila Nadhani alishamjua kama ambavyo Sisi wengine tumemjua Ahsanteni sana Mtanikumbuka 🙏😄
2 Reactions
7 Replies
724 Views
Kenya 🇰🇪 has been ranked the top user of ChatGPT in the world. This comes after a new report showed 42% of internet users aged 16+ in Kenya use the AI tool—higher than any other country. === How...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Kenya, William Ruto, amejibu hatua ya Marekani ya kutaka kupitia tena hadhi ya nchi yake ya mshirika mkuu asiye mwanachama wa NATO, akisema kuwa machaguo yake ya sera za masuala ya mambo...
2 Reactions
10 Replies
973 Views
Siku chache baada ya Serikali ya Tanzania kutangaza kanuni mpya za leseni za biashara na kodi, Kenya imepinga hatua hizo ikizitaja kuwa za kibaguzi na tishio kwa mshikamano wa kiuchumi wa Jumuiya...
6 Reactions
86 Replies
5K Views
Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen wamemtaka kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Wananchi (DCP), Rigathi Gachagua aandikishe taarifa na polisi aliporejea...
0 Reactions
1 Replies
611 Views
🗿 Lost Cities of Kenya – Echoes of a Forgotten Past 🇰🇪 Kenya hides in its soil and forests the stories of thriving cities that once buzzed with trade, culture, and power — now silent, but not...
0 Reactions
1 Replies
509 Views
Watu sita wamefariki baada ya ndege ndogo ya shirika la misaada ya matibabu kuanguka katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, kulingana na afisa wa eneo hilo. Charity Amref Flying Doctors wamesema...
1 Reactions
3 Replies
590 Views
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 23, Lukman Ismail Athman maarufu kama Jelal, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Lamu kwa kosa la kumbaka mara kadhaa mwanafunzi wa Darasa la...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM),Raila Odinga amelaani kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen baada ya kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwapiga risasi na...
0 Reactions
2 Replies
673 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa mashariki Dr Ruto amewaambia Wananchi wake kuwa wamebahatika kumpata yeye kama Rais wao Ruto amesema katika ukanda huu hapa Jawa hi kutokea Rais msomi, mwenye...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom