Moja ya msafiri wa ndege ya Kenya Airways ameonesha uchakavu wa baadhi ya vitu vilivyomo kwenye ndege hiyo vikiwa vimechakaa na kuharibika.
Ujumbe wa abira "Kenya Airways gave us trauma bonding...
Sherehe ya mazishi katika eneo la Kitutu Chache Kaskazini iligeuka vurugu baada ya Wabunge wawili, Japheth Nyakundi (Kitutu Chache Kaskazini) na Anthony Kibagendi (Kitutu Chache Kusini), kushikana...
Rais William Ruto: Watu wengi hawaelewi kwa nini nafanya kazi kwa bidii kubadilisha Kenya. Baadhi wanasema nafanya mambo mengi sana katika muhula wangu wa kwanza kiasi kwamba ningesukuma miradi...
Kenya imeshika nafasi ya pili barani Afrika kwa ugumu wa wakopeshaji wa kidijitali kukusanya madeni, ikitanguliwa na Nigeria na kufuatiwa na Uganda, kwa mujibu wa Acorn Research. Licha ya kuwa...
Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana Jumanne jioni. Mbobu alimiminiwa risasi...
Jeshi la Polisi jijini Nairobi limewakamata takribani washukiwa 300 katika msako mkubwa wa kuwakabili wezi wa mitaani na uhalifu wa usiku unaoendelea kushamiri katika eneo la katikati ya jiji...
The auction of the first set of Eliud Kipchoge’s non-fungible tokens (NFTs) closed on Thursday 23.00 Kenyan time and was sold for a total of 17.9837 in Ethereum currency, equivalent to Ksh...
Taifa la Kenya lina jamii mchanganyiko.
Ila moja ya jamii ambayo ni ya kipekee sana ni Wasomali ambao kiuhalisi walijikuta wako Kenya kutokana na sababu za kikoloni. Ila baada ya Kenya kupata...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Wefula Chebukati aliamua kukata jina la mgombea Urais asiyeona Dr Kigame bila sababu za msingi
Dr Kigame akaenda mahakamani na Mahakama ikamtaka...
Kama ulipata kutazama tamthilia ya Money Heist basi jina la Álvaro Morte sio geni masikioni kwani huyu ndio alikuwa Mastermind kupita maelezo wa michongo yote ya kupiga pesa, Morte tunamfahamu...
A few years ago Kenya announced grand plans to construct Africa's largest infrastructure dubbed LAPSSETT which would see a modern port in Lamu, then poised to be the largest in Africa, served with...
Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi, ametangaza kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Mwangi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya kupinga...
Mamlaka nchini Kenya imeweka marufuku ya kutotoka nje kwa siku saba (7) kuanzia jioni hadi alfajiri katika baadhi ya sehemu za kaunti ya Nakuru baada ya kuanza kwa ghasia za kikabila kwenye eneo...
Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika...
Leo tu taasisi ya kupambana na Rushwa imewakamata Magavana watatu na wako korokoroni hadi kesho watakapopandishwa kizimbani
Waziri wa Afya amekabidhi kwa DCI mafaili ya zaidi ya mafisadi 100...
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, nchini humo.
Agizo hilo la muda pia linazuia ujenzi kama huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.