Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Makamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu...
17 Reactions
235 Replies
14K Views
Ruto amewahakikishia wananchi kuwa atakapopewa Mamlaka kamili ya utawala, watu watakua huru kuwasiliana bila hofu ya kuingiliwa faragha zao na mamlaka. Akionekana kugusia ujasusi unaofanywa na...
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo? Ni uongo kwa sababu hizi Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A...
10 Reactions
76 Replies
5K Views
A Nairobi court has slapped a German national with 20 years imprisonment and ordered him to pay Ksh. 20 million for drug trafficking. According to a report issued by the Director of Public...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
William Samoei Ruto ametangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya. Marais kadhaa wa nchi jirani wamempa pongezi kupitia Twitter ila sijaona kwa Rais wetu Ni kuwa alikuwa anataka Raila ashinde?
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Hivi mmejaribu kuchukua kura ambazo kila mgombea amepata na kujaribu kuziweka into percentage with 2 decimal places? Ukitumia kanuni za hesabu mtapata kilekile kilichotangazwa na IEBC. Ila sasa...
0 Reactions
6 Replies
788 Views
Rais Uhuru Kenyatta alipowasihi wafuasi wake wa Mlima Kenya mwaka wa 2013 kumkumbatia William Ruto kama mrithi wake anayetarajiwa, alikuwa ameweka agano bila kujua hangeweza kulivunja. Wakaazi wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta. Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi. Yuko down to earth. Huwa napenda sana kusikiliza hotuba...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Sikiliza video kwa walio na bundle. Unaelezewa wazi ni kwa nini Kenya ni tajiri ikilinganishwa na nchi nyingi za Africa licha ya Kenya kukosa madini au mafuta.
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Haiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile. Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo. Hili jambo hayati...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Rais mteule wa Kenya Dkt. Ruto amesema atabadilisha sheria ili Mawaziri wawe wanaingia Bungeni na kuelezea hoja za serikali na Kujibu maswali ya Wabunge Ruto alikuwa anaongea na washindi wa...
0 Reactions
9 Replies
914 Views
Baada ya Raila Odinga kukataa Matokeo ya Kura ya Urais, Umoja wa Ulaya (EU), umetoa wito wa kusuluhishwa kwa mzozo huo kwa amani na kuwasihi viongozi wote wa kisiasa kuepuka ghasia Taarifa...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Kiukweli Nyerere si wa kumbeza licha ya yeye kuwa mwanadamu aliekosea mambo machache likiwemo hili la muungano mithiri ya tembo kuungana na sungura wawe wanakula sawa. Kiukweli siasa za Africa...
9 Reactions
71 Replies
4K Views
'Kama Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi IEBC pamoja na Makamishina Wanne wa Tume hatukubaliani na Matokeo ya Uchaguzi kwani hatujashirikishwa katika hatua Muhimu ya Uhakiki wa Nyaraka na...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Kipaumbele cha kwanza mahakama ziwezeshwe ili kesi za mafisadi zifanyiwe kazi haraka Kenya kwanza, wanyonge wainuliwe. DCI akimaanisha Mkurugenzi wa upelelezi nchini Kenya awe independent afanye...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Madaktari wa Uchunguzi wataufanyia uchunguzi mwili wa afisa wa IEBC, Daniel Musyoka aliyekutwa amefariki baada ya kutoweka kwenye kituo cha Kura. Mchunguzi wa serikali pamoja na Daktari...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Mtaalamu mmoja wa mambo ya Uchaguzi amenieleza kuwa Rais wa Kenya huamuliwa kwa kura 1 tu kwenye Uchaguzi nyingine zote ni mbwembwe tu Rais mteule anapaswa kupata 50%+1 na hiyo 1 ndio huamua kwa...
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Utata umeibuka Kenya mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi! Hoja zilizoibuliwa mara baada ha kutangazwa matokeo ni asilimia zilizopatikana kwa kila mgombea kiasi ukijumlisha unapata...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Huyu mtoto anaitwa Cherono William Samoei Ruto. Alizaliwa huko Machakos lakini akatupwa akiwa na siku moja tu. Haijulikani sababu ya kutupwa, huenda ni ugumu wa maisha kwa wazazi. Alipotupwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Uchambuzi kutoka akili kubwa. Changia hoja na si matusi. Challenge hoja zake, then JF itakuwa na Great Thinkers. Msikilize CC Tundu Lisu; Mbowe Freeman, Godbless Lema
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom