Ruto: Nitabadilisha Sheria ili Mawaziri wawe wanaingia Bungeni na kuelezea hoja za Serikali na kujibu maswali ya Wabunge

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Rais mteule wa Kenya Dkt. Ruto amesema atabadilisha sheria ili Mawaziri wawe wanaingia Bungeni na kuelezea hoja za serikali na Kujibu maswali ya Wabunge

Ruto alikuwa anaongea na washindi wa muunganiko wa Kenya Kwanza

Chanzo: Citizen tv
 
Kiongozi hapaswi kusema "NITA" badala yake aseme Tuta...
Nita maana yake maamuzi na utashi waka=udikteta.
 
Back
Top Bottom