Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye.
Mara ya kwanza Museveni aliomba...
There is Doubt Kenya is doing well after previous regime. The economy is steadily and slowly improving and this should be something to be celebrated about. as a matter of fact through the 3 months...
Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake...
Edwin Chiloba, kijana Mkenya ambaye alishajitokeza hadharani kama mtetezi wa kundi la LQBTQ nchini humo apatikana ameuwawa na Mwili wake kuwekwa ndani ya sanduku jijini #Eldoret
Picha ya mwisho...
Huyu Ruto si alisema hatakopa akimshutumu Uhuru. Imekuwaje tena? Siasa bana.
President William Ruto’s administration is targeting borrowing Sh3.6 trillion in his first five-year term, upending...
Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia...
Takariban watu Milioni 22 kutoka Pembe ya Afrika Mashariki wapo hatarini kukumbwa na baa la njaa ikiwa ni ongezeko la watu Milioni 9 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022
Shirika la Mpango wa Chakula...
Kwa mujibu wa Bodi ya Ufadhili ya Vyuo Vikuu (UFB), lengo ni kupunguza Uhaba wa Fedha kwenye vyuo vya Umma, kuongeza ufadhili kwa wasiojiweza na kupunguza utegemezi kutoka Hazina.
Bodi hiyo...
Nakumbuka kipindi fulani Magufuli akiwa Rais basi tukasikia habari kuwa Wakenya wanamfagilia mbaya na wangetamani kuwa na Rais wa aina hiyo. DP wao ndio Magufuli, sio Ruto kama wengi walivyodhani...
Africa Mashariki inazidi kupamba moto.
Nitaweka picha za mradi wenyewe.
The "East Africa Commercial & Logistics Center" in Dar Es Salaam, Tanzania, called EACLC for short, which is referred to...
Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi...
Kwa wale wakenya, wapenzi wa movie , Je Dj Afro bado anaendelea na kazi ya kutafsiri. Je ana movie mpya za 2022. Je sehemu gani Nairobi , nitakapoweza kupata CD zake ?
Mgala muue, haki umpe! Jameni aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta hata kama ana mapungufu mengine lakini kwenye hili nampa hongera za dhati. Nina miaka mingi sijasafiri, ila jana...
Ili kuongeza mapato na kupunguza ukwepaji wa kulipa kodi Kenya inapanga kuunganisha mfumo wake wa kutoza kodi na watoa huduma za simu. Kenya inawalipa kodi 7, 000,000 wakati inawatumia simu za...
Serikali kuanzia Januari 2023 itaondoa shule za msingi za bweni kwa wanafunzi wanaosoma katika darasa la 1 hadi la 9.
Kenya imetangaza kuwa kuanzia mwaka ujao hakutakuwa na shule ya bweni kwa...
Taasisi ya Utafiti wa Matibabu ya Kenya (KeMRI) imeeleza kuwa licha ya kuwepo kwa visa vya Kisonono katika miaka ya nyuma lakini kirusi cha ugonjwa huo kimerejea kwa aina tofauti kikiwa...
Foreign currency deposits in Kenyan banking institutions rose by 21.6 per cent last year with diaspora remittances being among the major drivers of the growth.
Monthly data from the Central Bank...
Jamaa amepata mashabiki Kenya kimzaha mzaha, tambo zake yaani, huwa namfatilia sana.
Mandonga mtu kazi tuko nawe kwenye hili, uzalendo pembeni, ukipigwa ni kama umepiga.
================...
Rais wa Kenya, William Ruto amesema mazingira hayo yalikuwa yanamhusu Mwenyekiti huyo wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati wakati wa uchaguzi wa Agosti 2022.
Amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.